Kenya: Kampuni ya Mikopo yapigwa faini kwa kuaibisha na kunyanyasa wateja kupitia taarifa zao binafsi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Kampuni ya kutoa Mikopo kwa Njia ya Mtandao ya #WhitePathLTD, imepigwa faini ya Ksh. 495,614 sawa Tsh. Milioni 8.6 kwa madai ya kuingilia na kutumia taarifa binafsi za wateja kufuatilia wadeni wake.

Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ilisema ilipokea takriban malalamiko 150 dhidi ya kampuni hiyo ikidaiwa kuwapigia simu ndugu na jamaa wa wadeni wao wakiwataka kuwakumbusha kulipa madeni.

Wafanyakazi wa Kampuni hiyo pia walishutumiwa kwa kuwanyanyasa na kuwatukana walalamikaji na marafiki zao kupitia namba za simu zilizopo katika nyaraka zao za kujiunga katika huduma hiyo.

.............

The Kenyan authorities have penalised an online lender $3,700 (£3,400) over allegations of intruding and sharing customers’ personal data.

It followed complaints lodged against it by users over personal data breaches.

The Office of Data Protection said it received close to 150 complaints against Whitepath Ltd, alleging the lender's mobile app was mining phone contacts data to engage in debt-shaming practices.

The lender's staff were also accused of harassing the complainants and their friends and relations through phone contacts obtained irregularly.

A company that sells office space, Regus Kenya, was also fined a similar amount after being accused of spamming complainants despite efforts to make them stop.

Kenya's data commissioner, Immaculate Kassait, said that data protection was the responsibility of every data controller and processor.

Sources: BBC, Citizen Digital
 
Jinga sana hawa jamaa,kuna moja inajiita pesa x wakanikopesha 10000 nilipochelewa kulipa walipiga simu hadi kero,kwa siku napokea simu za watu tofauti zaidi ya 10 toka kwao baadaye wakampigia mrs akaogopa sana ikabidi niwalipe pesa yao japo waliniwekea riba kibao eti kisa nilikaa na pesa yao muda. nimekuwa huru sasa
 
dawa ya deni ni kulipa
 
The Kenyan authorities have penalised an online lender $3,700 (£3,400) over allegations of intruding and sharing customers’ personal data.
Faini inakwenda kwa nani kwa waliodhalilishwa au kwa mamlaka? Isijekuwa janjajanja ya serikali kukusanya pesa za kulipa mishahara maana tunaambiwa wamebaki na unga nusu na robo
 
Jinga sana hawa jamaa,kuna moja inajiita pesa x wakanikopesha 10000 nilipochelewa kulipa walipiga simu hadi kero,kwa siku napokea simu za watu tofauti zaidi ya 10 toka kwao baadaye wakampigia mrs akaogopa sana ikabidi niwalipe pesa yao japo waliniwekea riba kibao eti kisa nilikaa na pesa yao muda. nimekuwa huru sasa
Pole sana Ndugu yangu, yalinikuta pia kama hayo. Ile kampuni haina utaratibu wa kiofisi, kila mmoja ana sharubu
 
Jinga sana hawa jamaa,kuna moja inajiita pesa x wakanikopesha 10000 nilipochelewa kulipa walipiga simu hadi kero,kwa siku napokea simu za watu tofauti zaidi ya 10 toka kwao baadaye wakampigia mrs akaogopa sana ikabidi niwalipe pesa yao japo waliniwekea riba kibao eti kisa nilikaa na pesa yao muda. nimekuwa huru sasa
Sasa kwanini ulikuwa hutaki kulipa fedha ya watu?
 
Kampuni ya kutoa Mikopo kwa Njia ya Mtandao ya #WhitePathLTD, imepigwa faini ya Ksh. 495,614 sawa Tsh. Milioni 8.6 kwa madai ya kuingilia na kutumia taarifa binafsi za wateja kufuatilia wadeni wake.

Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ilisema ilipokea takriban malalamiko 150 dhidi ya kampuni hiyo ikidaiwa kuwapigia simu ndugu na jamaa wa wadeni wao wakiwataka kuwakumbusha kulipa madeni.

Wafanyakazi wa Kampuni hiyo pia walishutumiwa kwa kuwanyanyasa na kuwatukana walalamikaji na marafiki zao kupitia namba za simu zilizopo katika nyaraka zao za kujiunga katika huduma hiyo.

.............

The Kenyan authorities have penalised an online lender $3,700 (£3,400) over allegations of intruding and sharing customers’ personal data.

It followed complaints lodged against it by users over personal data breaches.

The Office of Data Protection said it received close to 150 complaints against Whitepath Ltd, alleging the lender's mobile app was mining phone contacts data to engage in debt-shaming practices.

The lender's staff were also accused of harassing the complainants and their friends and relations through phone contacts obtained irregularly.

A company that sells office space, Regus Kenya, was also fined a similar amount after being accused of spamming complainants despite efforts to make them stop.

Kenya's data commissioner, Immaculate Kassait, said that data protection was the responsibility of every data controller and processor.

Sources: BBC, Citizen Digital
Nafikir ata bongo inawezekana shida ya vijana wao wanaodai ndio wanawaharbia hizi kampuni wnadai kihuni sana
 
Back
Top Bottom