Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

Hiyo lodge kwa huko madale unategemea kupata wageni kutoka wapi? samahani lakini.
Mbona lipo wazi!! lodge za dar nyingi huwa tutalala wenyeji, kwa uchache sana Wageni wa mkoani, kwa hapo madale tegemea wakazi wa mbezi goba na viunga vyake ndo watakuwa wateja wake .
 
Back
Top Bottom