Mzee tuwekee source ya hizo data basi!!!
Jamani,tusifikiri kuwakilisha ushahidi huu ni jambo la kukurupuka.the evidence must be objective and strong.najua chadema wana vichwa na ndio maana hujaona kama wamekurupuka.ushahidi upo ila unahitaji maandalizi ya kuanika ushahidi huo kwa kuonyesha na kuthibitisha mapungufu ambayo ni ya kweli na mtu hawezi kubisha hata kama akiwa jambazi.ukweli ni kwamba subirini ila uhakika ni kuwa chadema wana ushahidi wa kutosha,kinachofanyika sasa hivi ni uandaaji wa makabrasha(paper works) kwa ajili ya ushahidi.
Kusikiliza maneno ya NEC ni sawa na kusikiliza CCM
GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
haya majimbo yamefanana kila kitu .muulize huyo kila imekuwaje mi niko mbali huku usalule sitaweza kufika
hahahahhahahahahaaaaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee baaaaalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa WAKWIASHA SILAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAGEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
haya majimbo yamefanana kila kitu .muulize huyo kila imekuwaje mi niko mbali huku usalule sitaweza kufika
Kwa kweli hata ushahidi ukiwasilishwa hautabadili kitu. ila as a matter of formality ni bora uwasilishwe ili wasiseme ushahidi haukuletwa, kwani kesi ya nyani huwezi mpelekea nyani.Then ukikataliwa na tume ambayo ni obvious, CHADEMA wasonge mbele mahakamani kwa matokeo ya ubunge na ya rais kwenye vyombo vya Kimataifa na ikishindikana hapo sasa itakuwa shughuli pevu! Lakini pia pamoja na kuuwasilisha mahakamani CHADEMA wahakikishe coverage ya huo ushahidi iwe kubwa.
Mkuu na kuunga 100%.CHADEMA wahakikishe wanaoutangaza huu ushahidi na wanatufafanulia vizuri na coverage kubwa, yake iwafikie Watanzania wote haswa wa vijijini ili ukweli na madhambi ya CCM yajulikane! Kila siku wautangaze kwenye vyombo vya habari hata kama itachukua mwaka.
CHADEMA tupeni evidences tupate mzuka! Haki yenu haiwezi dhulumiwa, haki is very expensive! Tutadai kwa njia yoyote ile kama Nyerere alivyodai uhuru wetu, alivyodai ukombozi wa nchi nyingine za Afrika na pia alivyomtandika nduli Iddi Amini! Hakukubali haki idhulumiwe by any means. Watanzania tusikubali na wala tusiwe ma-coward. Tusitishane kila kitu in the name of AMANI ITAVUNJIKA! Ingekuwa hivyo Nyerere asingefanya yote aliyofanya.
Busara itumike (kama CCM wameiba wakiri !) ikishindikana lazima haki ipatikane! CCM watake wasitake haki is a must kama kweli wamefanyauchakachuaji!
CHADEMA kimbilio la wanyonge tupeni mzuka ili tukasake haki yetu
Mzee tuwekee source ya hizo data basi!!!