kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,331
- 12,647
Mpira wa miguu ni mchezo wa kugongana na kutumia nguvu nyingi sana hasa kwenye mashindano makubwa ya CAF na Derby. Wachezaji walewale kila mechi za kila mashindano zinaiumiza timu, wachezaji wanachoka na kuumia na kulazimika kucheza na uchovu na maumivu, hivyo kucheza chini ya uwezo wao.
Siamini hata kidogo kama Kibwana, Sure boy, Mkude, Fred, Farid, Nkane, moloko, Mauya, Skudu na Ngushi wameshuka viwango vyao ghafla bin vuu baada ya ujio wa Gamondi. Timu yetu Sasa inaitwa Masare Huku mtaani kwa kupata sare nyingi.
Ninashindwa kumzomea Gamondi kwakuwa siku moja Nabi aliniambia kuwa moja ya sababu inayonitoa Yanga ni kulazimika kucheza na kushinda mechi ukiwa na wachezaji hafifu sana kwenye kikosi. Labda wachezaji hafifu aliowasema Nabi ni hawa anaowaacha Gamondi kwenye bench kwenye mechi zake.
Aulizwe Gamondi aseme ukweli kama wachezaji hawa ni wabovu waachwe haraka wasiitie hasara timu ya kulipa wachezaji waaioitumikia club.