Katiba ya kenya inang'ata kikwete tunamlea wa nini?

fisi dume

New Member
Oct 26, 2010
2
0
Wa TZ majibu mazuri ya mafisadi ni kubadilisha katiba. mfano katiba mpya ya kenya ilivyomng'ata wetangula. tukifanya hivyo jk tunaye na first 11 yake including so called first lady.

Slaa = katiba

kj + first 11 = segerea
 
Kenya watatuacha mbali sana, na sasa Zanzibar wanataucha hivi hivi. Angalia utendaji wa tume za uchaguzi ZEC na NEC. Kiravu na amekuwa kama msemaji wa CCM.
 
Kenya watatuacha mbali sana, na sasa Zanzibar wanataucha hivi hivi. Angalia utendaji wa tume za uchaguzi ZEC na NEC. Kiravu na amekuwa kama msemaji wa CCM.
Inafurahisha sana Zanzibar kwakweli KARUME kafanya makubwa sana!
 
dah,ingawa napenda kuwa mzalendo ila i wish i was a kenyan

Kenyans paid a price for what is happening now in Kenya!!! For Tanzanians to be in the same side as Kenyans we need to sacrifice something for a better tommorow.... Bado unayo nafasi ya kuibadilisha tz mkuu....play your part...
 
Kweli wakenya tuliokuwa tunawdhihaki kwa kuwa ni wala rushwa sasa wanatengeneza nchi yao. Sisi tumelemaa na hili jinamizi CCM, tutazidi kudidimia.
 
Back
Top Bottom