The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,340
Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1.
Pamoja na hilo nchi yetu bado iko kwenye kundi la nchi ambazo hazitabiriki. Yaani kuikopesha na kulipwa ni bahati nasibu.
Haya ndio madaraja ya tathmini kwa makampuni 3 yanayotambulika Duniani kwa kufanya tathmini ya nchi (Sovereign Credit Rating Agencies), S&P, Moody's na Fitch.
Fitch wao mwaka jana walituweka kwenye kundi la B+. S&P ama Standard and Poor hawajawahi kutufanyia tathmini.
Soma taarifa ya Wizara ya Fedha hapa kwenye mtandao wa X.
View: https://twitter.com/mofURT/status/1771647255432266025?s=19