Kama wewe ni binadamu nakubatiza kwa jina la baba la mwana na la roho mtakatifu

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,199
wadau,

Kuna story niliambiwa ningependa kuifahamu vizuri
Nasikia kwamba huko Mara alikuwepo padri mmoja mzungu mbaguzi sana miaka ya 1950s inasemekana mzungu huyo alikua na mashaka kama kweli waafrika nao ni wanadamu kama walivyo wao wazungu.

Inasemekana ikafikia kipindi akawa anawabatiza watanganyika kwa kusema 'kama kweli nyie ni wanadamu nawabatiza kwa jana la baba la mwana na roho mtakatifu. Amina'

Eti habari zilipo sikika sirikalini mzungu huyo alipewa masaa 24 ya kuondoka nchini
kwa mwenye kumjua na kujua vizuri habari ya mzungu huyu, atuwekee tusio jua vizuri habari hii
 
Back
Top Bottom