OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,872
- 9,729
Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe.
Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha kumtegemea mtu na utagundua kuwa kumbe kazi mtaani Zipo nyingi sana.
Fanya hivyo utanishukuru baadaye.
Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha kumtegemea mtu na utagundua kuwa kumbe kazi mtaani Zipo nyingi sana.
Fanya hivyo utanishukuru baadaye.