Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,170
4,582
Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?

Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?

Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
 
Hiyo wizara kwa mtazamo wangu inatakiwa ipate watu wanaojua mambo ya umeme kwelikweli, yani wawe nondo kwenye sekta ya nishati kuanzia waziri, naibu wake na katibu mkuu. Nina mashaka kuna siasa nyingi humo ndani na waziri anapigwa changa la macho kwakuwa hajui hayo mambo.
 
Kwa hiyo hiyo hitilafu imeletwa na Dkt.Buteko? Mbona mnashindwa kusema ukweli kwamba TANESCO na menejimenti yao ndio wanatakiwa kuwajibika? Au mna wajomba zenu TANESCO mnaona mtaharibia vibarua?
 
Wewe bilashaka utakuwa mpwa wa Biteko kama hao unaosema wana wajomba TANESCO. Mbona unamtetea sana? Taasisi ikifeli hatuangalii mtumishi wa chini, tunamuangalia kiongozi kwasababu kiongozi ndio mbeba maono
 
Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?

Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?

Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
CCM ya leo hakuna mwenye ubavu huo.
 
Kwa hiyo hiyo hitilafu imeletwa na Dkt.Buteko? Mbona mnashindwa kusema ukweli kwamba TANESCO na menejimenti yao ndio wanatakiwa kuwajibika? Au mna wajomba zenu TANESCO mnaona mtaharibia vibarua?
Kwani coach akiwajibishwa kwa matokeo mabaya ya team, yeye ndio huwa anacheza uwanjani? Chawa unakwama wapi?
 
Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?

Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?

Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
Aombe msamaha wajinga? Taifa lina asilimia 90 ya wajinga ndio hao awaombe msamaha?
 
Kwani coach akiwajibishwa kwa matokeo mabaya ya team, yeye ndio huwa anacheza uwanjani? Chawa unakwama wapi?
Alafu ndio walikua wanasema Sijui Biteko ndio kingpin wa kanda ya ziwa mara sijui anaandaliwa kuwa rais n.k? hawa jamaa wa CCM huwa wako overrated sana kuliko uwezo wao.
 
Hiyo wizara kwa mtazamo wangu inatakiwa ipate watu wanaojua mambo ya umeme kwelikweli, yani wawe nondo kwenye sekta ya nishati kuanzia waziri, naibu wake na katibu mkuu. Nina mashaka kuna siasa nyingi humo ndani na waziri anapigwa changa la macho kwakuwa hajui hayo mambo.
Mkuu niamini mimi Tanganyika TAALUMA na UTAALAMU huwa havifanyi kazi,kinachofanya kazi ni matamko na 10%. Sijui umenielewa?
 
Back
Top Bottom