Kama Dkt. Ndugulile atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO (Afrika) basi Komredi Makonda atakuwa na Nafasi ya kugombea Ubunge Kigamboni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,071
143,882
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni

Baadae Mlale Unono 😄😄🔥
 
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa

Makonda kama anapenda kujaribu ubunge aende kwao koromije, mjini kunahitaji watu wenye akili
 
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa

Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni

Baadae Mlale Unono 😄😄🔥
Wacha we
 
Hali ya Kisiasa Kigamboni imeshamgeuka rafiki yangu Ndugulile.

Ni vyema akaenda huko ili ajipange akirejea awe na kitu kipya
 
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa

Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni

Baadae Mlale Unono 😄😄🔥
Yasimkute yaliyomkuta Kihiyo Temeke.
 
Back
Top Bottom