Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

Alianza mzeevWasira akasema baada ya jiwe kutwaliwa sasa watanzania wanapumua

Akafuata mzee Diallo akasema jiwe alipaswa kuwa Milembe.

Sasa amekuja Bulembo anasema sasa watu Wana Uhuru wa kusema na diplomasia iliyoharibiwa na jiwe mama anaijenga upya.

Nani atafuata?
Taratibu watatokea wengine kibao watamnanga jiwe
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Niliujua unafiki wa Bulembo alipo kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa FAT au TFF siku hizi. Huyu yeye anacho angalia maishani make ni FEDHA tu basi. Ni halali au ni haramu hilo utajua wewe.

Wakati ule alikuwa CHAWA wa Ndolanga na ndio alikuwa anamwambia kwa jinsi wajumbe wanavyo mpenda atadumu pale FAT milele.

Siku zile wajumbe wa mkutano mkuu walikuwa 62 tu, sasa yeye Bulembo , Marehemu Makanjira na Mwingine kutoka Rukwa nimemsahau jina, walikuwa wanamshauri Ndolanga awahonge wajumbe 37 tu ili hawa wakimpa kura zao tayari anakuwa mshindi na anakuwa Mwenyekiti wa FAT siku hizi TFF. Kwahiyo walipewa rushwa kubwa kupitia huyu Bulembo na Makanjira aliye kuwa mjumbe wa kamati kuu akitokea Iringa.

Serikali ilipo ona kuwa kumtoa Ndolanga kwa kura isingewezekana , walicho fanya kupitia BMT wakaongeza idadi ya wapiga kura mpaka kufikia 120. Katika uchaguzi ulio fuata serikali walikuwa upande wa LEODIGA CHILLA TENGA , na kumwaga TAKUKURU kila kona kuhakikisha Ndolanga na hawa akina Bulembo hawapati fursa ya kuwa rubuni wajumbe kwa RUSHWA. Ndolanga akashindwa katika uchaguzi ule.

Baada ya hapo huyu Bulembo aka akahamia kwenye siasa na kamwe hakuacha kuwa CHAWA. Ni mtu anaye angalia tumbo lake.

Nilicho jifunza katika maisha CHAWA ni wabaya kuliko SHETANI. Shetani ana huruma kwasababu akijua wewe unampambania Mungu , anakuacha uendelee na Mungu anakubali kushindwa. CHAWA huwa hawakubali kushindwa, ni wabaya.

Hapo alipo fikishwa Polepole ni lazima akubali kushindwa. Hawa darasa la saba akina Bulembo watammaliza siyo tu kisiasa lakini anaweza akajikuta amepoteza vingi including life.

ATAKWENDA POLISI, ATASHANGAA, HAWATA MSIKILIZA KWASABABU WATAKUWA WANASOMA UPEPO WAJUE WALIO MFANYIA HAYO NI CCM AU CHAWA WA TAIFA??

Polepole akubali kuwa Magufuli is No More, na huo ndio mwisho wao popote walipo, iwe bandarini, Dodoma au kwenye Siasa ndio mwisho wa ENZI.

Huyu CHAWA mbobevu amejua hilo, amesha jua ahamie shati lipi. Kwasasa yupo na Samia , kabla alikuwa kwa Kikwete. Huyo ndio Bulembo ninaye mjua mimi.
Sure kabisa polepole atulie tu kuna zama na kitabu chake na kuna watu upepo mkali ukivuma unapaswa kuchill tu.
 
Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua.

Hawa wazee wana roho za kikatili na wanapenda sana maendeleo ya watoto wao SI Watanzania. JPM alifikia akawateua yeye na mtoto wake lakini Leo adharani anamdhaliisha kwa sababu TU hayupo hai. Hii inatoa picha kwa viongozi wengine kwamba Tanzania hakuna upendo kwa wanasiasa wanachofanya nikuangalia maslahi.

Upo uwezekano Mwenyekiti wa CCM akadhani amezungukwa na watu kumbe amezungukwa na mbwa mwitu. Upo wakati anaweza akafumbua macho uonevu wa wale wasio wanaccm akidhani wanaccm wapo naye kumbe Bora hata wsio wanaccm maana wanamweleza ukweli.

Huyu Mzee Leo ametufumbua macho hasa alipohoji kama polepole anapesa? Baada tu yakuhoji hivyo tunashuhudia chumba kimoja cha polepole huko Dodoma kikiwa na kila kitu. Means mzee anajua uwezo wa kiuchumi wa Polepole. Kwa mtizamo Wangu Bora polepole anayeishi kwenye chumba kimoja na hana pesa kuliko viongozi wenye pesa walizoiba Kwa wananachi na wanatumia Fedha hizo kudhalilisha wananchi.

Mwisho, Huyu Mzee anaposema alikuwa anabadilishana nguo na JPM kwenye kampeni ni dharau kubwa sana,lakini kibaya Zaid hawa ndio waliokuwa washauri wa JPM na watu wa aina hii ndio wenyeviti wa vyama mikoa na will na intelijensia ya chama haikuona dhamira zao. Je, wanaoutafsiri negatively uongoz wa chama uliopo ni wangapi? Wanavyoendleza hizi harakati ndani ya mfumo ambao chama ndiyo serikali tunadhani tutapata maendeleo? Kwamba uichukie awamu ya Tano na uishauri ipate maendeleo No. Tujitathimini
Huyu Mzee ni mwizi wa mali za CCM. Jumuhiya ya wazazi. Anatafuta njia ya kurudisha mali alizo nyang'anywa na JPM kurudishwa chamani.
Safi sana Bashiru na kamati yake. Ndiyo maana anawalaumu ...... eti walikuwa wapinzani (CUF na Chadema ACT)
 
Kweli alimtosa Yule rafiki yake wa Mambo ya ndani,hakutishiwa nyau.

Huyu Bulembo baada ya kutembea na Jiwe wakati wa kampeni alitegemea kuwa angeteuliwa kuwa waziri wa MICHEZO; alipokosa uteuzi ndio akaanza kufanya fitina za chini chini dhidi ya Jiwe na hilo likagundulika !! Sasa Jiwe hayupo ndio anaonesha dhahiri yeye ni mtu wa aina gani!!
 
Huyu Mzee ni mwizi wa mali za CCM. Jumuhiya ya wazazi. Anatafuta njia ya kurudisha mali alizo nyang'anywa na JPM kurudishwa chamani.
Safi sana Bashiru na kamati yake. Ndiyo maana anawalaumu ...... eti walikuwa wapinzani (CUF na Chadema ACT)

Mbona huyu Mzee anajinasibu kuwa alimgomea Bashiru kuhahakiki mali zake!! Kumbe alinyang'anywa mali odio maana anafura!!! Ni mwizi anayetakiwa kufunguliwa mashitaka.
 
Hizo zote ni njaa tu,Pole pole angekua bado ni katibu mwenezi pale CCM asingekuwa ktk hali aliyonayo leo wala asingekuwa anakosoa serikali,huyo mzee nae anatka chochote ktk awamu hii!wanasiasa wa nchi yetu wanahtaji mabadiliko makubwa.
Kwanza wawe na uwezo wa kujitegemea kiuchumi bila msaada wa vyeo vya kupewa
 
Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua.

Hawa wazee wana roho za kikatili na wanapenda sana maendeleo ya watoto wao SI Watanzania. JPM alifikia akawateua yeye na mtoto wake lakini Leo adharani anamdhaliisha kwa sababu TU hayupo hai. Hii inatoa picha kwa viongozi wengine kwamba Tanzania hakuna upendo kwa wanasiasa wanachofanya nikuangalia maslahi.

Upo uwezekano Mwenyekiti wa CCM akadhani amezungukwa na watu kumbe amezungukwa na mbwa mwitu. Upo wakati anaweza akafumbua macho uonevu wa wale wasio wanaccm akidhani wanaccm wapo naye kumbe Bora hata wsio wanaccm maana wanamweleza ukweli.

Huyu Mzee Leo ametufumbua macho hasa alipohoji kama polepole anapesa? Baada tu yakuhoji hivyo tunashuhudia chumba kimoja cha polepole huko Dodoma kikiwa na kila kitu. Means mzee anajua uwezo wa kiuchumi wa Polepole. Kwa mtizamo Wangu Bora polepole anayeishi kwenye chumba kimoja na hana pesa kuliko viongozi wenye pesa walizoiba Kwa wananachi na wanatumia Fedha hizo kudhalilisha wananchi.

Mwisho, Huyu Mzee anaposema alikuwa anabadilishana nguo na JPM kwenye kampeni ni dharau kubwa sana,lakini kibaya Zaid hawa ndio waliokuwa washauri wa JPM na watu wa aina hii ndio wenyeviti wa vyama mikoa na will na intelijensia ya chama haikuona dhamira zao. Je, wanaoutafsiri negatively uongoz wa chama uliopo ni wangapi? Wanavyoendleza hizi harakati ndani ya mfumo ambao chama ndiyo serikali tunadhani tutapata maendeleo? Kwamba uichukie awamu ya Tano na uishauri ipate maendeleo No. Tujitathimini
Sukuma gang mmeishapigwa ngwala, ungana na wakombozi wa nchi hii chadema kudai katiba mpya
 
1639425969574.png

1639426015316.png

Bulembo kadanganya mbele ya umma na wanahabari wameshindwa kumpa rejea ya picha kuthibitisha, shati alilokuwa nalo Polepole siku anakabidhiwa ofisi sio la "kuazima" kama ambavyo amewahadaa wanahabari na Watanzania.

Bulembo anadai Bashiru ni mwanachama wa CUF, uanachama unatambuliwa kwa kadi ya uanachama na michango. Basi walau angetoa kadi ya uanchama wa Bashiru kama alikuwa CUF na lini ili kuwa na "evidence" ku-justufy hoja zake.

Kuna mengi Humphrey Watanzania tutakuwa hatukubaliani nae, ila namna bora ya kumpinga ni kumjibu kwa hoja zenye ubora na mashiko. Ila badala ya kumjibu kwa hoja wanakusanyika kila siku na kumshambulia yeye binafsi, naona hapo ndipo anazidi kuwatoa kwenye reli.

Kama Humphrey angekuwa anatetea ugali wake binafsi, bila shaka angepigwa mawe na watu wengi sana, ila kwa kutetea utekelezaji wa miradi ya serikali ikiwamo JNHPP ikamilike kwa wakati ili kwa kuingia MegaWatt 2100 zilete unafuu na uhakika wa kupatikana kwa nishati, jambo hili likifanyika sio tu ni faida kwa TANESCO ambayo itaongeza mauzo ya umeme kwa Watanzania, kuna potential ya kuzalisha bidhaa kwa gharama nafuu kama nishati itakuwa ya kutosha na affordable.

Mwl. Nyerere alikuwa akiwakosoa akina mzee Ruksa, Mzee Malecele hadharani; inawezekana Humphrey asiwe na hadhi ya "mchonga" ila wakijibu hoja zake kwa facts na kwa utekelezaji atanyamaza na Tanzania itashinda.
 
Aysee..namkumbuka huyu Bulembo kpmd akiea mwenyekit wa umoja wa wazaz...alikuja shuleni akiwa kama mwenyekit wa shule zote za umoja wa wazazii....yaan jamaa alikuwa anaongea kwa dharau zilizopitilizaa....aliambatana na huyu naskia mnamwita Lemutuz humu...yaan alikuwa anaongea kwa kujisifia kwamba pamoja na baba yake Malechela kuwa wazir ila alisoma USA kwa kutegemea ada ya kuosha vyombo kwenye mahotel...hapa ndo nkaona viongozi wanatuchukulia sie mandezi sanaa
Kama aliongozana na Le Mutuz...kwisha habari.
 
Niliujua unafiki wa Bulembo alipo kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa FAT au TFF siku hizi. Huyu yeye anacho angalia maishani make ni FEDHA tu basi. Ni halali au ni haramu hilo utajua wewe.

Wakati ule alikuwa CHAWA wa Ndolanga na ndio alikuwa anamwambia kwa jinsi wajumbe wanavyo mpenda atadumu pale FAT milele.

Siku zile wajumbe wa mkutano mkuu walikuwa 62 tu, sasa yeye Bulembo , Marehemu Makanjira na Mwingine kutoka Rukwa nimemsahau jina, walikuwa wanamshauri Ndolanga awahonge wajumbe 37 tu ili hawa wakimpa kura zao tayari anakuwa mshindi na anakuwa Mwenyekiti wa FAT siku hizi TFF. Kwahiyo walipewa rushwa kubwa kupitia huyu Bulembo na Makanjira aliye kuwa mjumbe wa kamati kuu akitokea Iringa.

Serikali ilipo ona kuwa kumtoa Ndolanga kwa kura isingewezekana , walicho fanya kupitia BMT wakaongeza idadi ya wapiga kura mpaka kufikia 120. Katika uchaguzi ulio fuata serikali walikuwa upande wa LEODIGA CHILLA TENGA , na kumwaga TAKUKURU kila kona kuhakikisha Ndolanga na hawa akina Bulembo hawapati fursa ya kuwa rubuni wajumbe kwa RUSHWA. Ndolanga akashindwa katika uchaguzi ule.

Baada ya hapo huyu Bulembo aka akahamia kwenye siasa na kamwe hakuacha kuwa CHAWA. Ni mtu anaye angalia tumbo lake.

Nilicho jifunza katika maisha CHAWA ni wabaya kuliko SHETANI. Shetani ana huruma kwasababu akijua wewe unampambania Mungu , anakuacha uendelee na Mungu anakubali kushindwa. CHAWA huwa hawakubali kushindwa, ni wabaya.

Hapo alipo fikishwa Polepole ni lazima akubali kushindwa. Hawa darasa la saba akina Bulembo watammaliza siyo tu kisiasa lakini anaweza akajikuta amepoteza vingi including life.

ATAKWENDA POLISI, ATASHANGAA, HAWATA MSIKILIZA KWASABABU WATAKUWA WANASOMA UPEPO WAJUE WALIO MFANYIA HAYO NI CCM AU CHAWA WA TAIFA??

Polepole akubali kuwa Magufuli is No More, na huo ndio mwisho wao popote walipo, iwe bandarini, Dodoma au kwenye Siasa ndio mwisho wa ENZI.

Huyu CHAWA mbobevu amejua hilo, amesha jua ahamie shati lipi. Kwasasa yupo na Samia , kabla alikuwa kwa Kikwete. Huyo ndio Bulembo ninaye mjua mimi.
Ndolanga siku hizi Yuko wapi Mana alikuaga mbabe Sana pale FAT n

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzia: Muhidini Ndolanga Afariki Dunia​

September 18, 2021

Ndio maana busara zinaniambia ni heri Polepole asijibishane atulie tuu, kila jambo lina majira yake.
 
Baada ya nyumba ya Polepole kuvunjwa na kuibiwa polisi walitakiwa wamkamate Bulembo na kumhoji kwani kauli zake zimeendana na yaliyomkuta Poleploe
Polisi gani unaongelea hapa?
Wale wale waliomwambia Mbowe hawezi mshinda mgombea wa CCM
Au kuna wengine wasio chini ya Zero?
 
Back
Top Bottom