peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,254
- 23,930
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.
Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.
Suala la haki, usawa, na kusimamia maslahi ya mtumishi halipo kwake limepitwa na WAKATI.
Kuficha mafaili ya watumishi yeye amesomea kazi hiyo na haambiliki Wala haelewi, anasema anaripoti juu kwa juu.
Uongozi wa DED aliyeondoka ulimfanya Afisa utumishi huyu kuwa mungu mtu na amefikia mahali sasa anatisha watumishi kuwa anao uwezo wa kuwafukuza kazi bila mamlaka husika kumfanyia chochote.
Hali ya watumishi wa Halmashauri, wanaishi kama swala wa porini na hawana amani, hawajui walalamikie wapi, na Wala hawajui kesho Yao.
Mh waziri, tunakuomba uje tuondoke na Afisa utumishi huyu.
Alikotekea akaletwa Mwanga anayejua aliyokuwa matendo na tabia ya kutukana na kufokea watumishi wa umma alikuwa nao.
Kuna kila dalili Afisa utumishi huyu anatumiwa na vyama pinzani kudhalilisha watumishi wa umma, ili waichukie serikali yao.