Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 757
Je umechoka Kila mara kuweka password kwenye iphone yako pale unapotumia kwenye app store ?? Yani Kila unapotaka kupakua kitu app store inakudai password kuweka.
Okay kampuni ya apple wameweka huo mfumo kwa watumiaji wa simu za iphone ili kuongeza usalama wa watu kupakua pakua Kila program na kuweka kwenye simu bila muhusika kujua.
Kuna option mbili uwa zinatokeaga ambazo ni,
Lakini Apple wameweka option ya kuondoa huo mfumo ikiwa mtu hataki Kila mara kuweka password unapotaka kupakua kitu kwenye app store.
View attachment 2811372
Fanya hivi kuondoa password
Ingia setting kwenye iphone yako
Gusa kwenye email yako Jina lako
Gusa Sehemu ya Media & purchase
Gusa Sehemu ya Password chini utaona neno free download gusa Sehemu ya require password
Weka password zako utaweza off.
Ikitokea unaingia kwenye app store kupakua kitu haitaweza tena kukudai password

- always required, hii ni Kila Mara unapotaka kupakua app ya kulipia au yoyote inakuhitaji uweke password
- Required after 15 minutes, hii itakuomba uweke password Kila baada ya dakika 15 pale unapotaka kupakua kitu kwenye app store hivyo ukiweka mara Moja haitakudai password mpaka baada ya dakika 15 kupita.