Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 7,448
- 19,780
Real quick.
😂😂😂😂Nendeni mjaribu muone
Don't try this at home.Nendeni mjaribu muone
Dunia ina mambo...Hii ndio nasikia leoHabari wakuu
Uzoefu:Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019),katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote haya yale ya kujamiana na sote tulifurahia,kwasasa tumeachana lakini sina maambukizi hata tukipima sina maambukizi.
Kanuni za kuishi na mwenza mwenye maambukizi ya Ukimwi
1.Kumtanguliza Mungu na pia uwe na imani ya dhati kuwa huwezi pata maambukizi.
2.Ukweli na Uwazi.Jua taarifa zote za mwenza wako ikiwemo mahudhurio yake ya kliniki,maendeleo ya kinga yake ya mwili (Kama imepanda,imeshuka au kawaida),CD4 kati ya 500-1400 hawezi kukupa maambukizi hata mkifanya tendo,CD4 ya 1000-1500 hata akipimwa Virusi haviwezi kuonekana,CD4 ya chini ya 200 hapa ukijaribu tuu atakuambukiza.Inatakiwa ujue hadi maendeleo yake ya kumeza dawa za ARV's na uweze kumsimamia,hizi ni dawa ambazo hata kuzimeza tuu ni changamoto,huwa zinamchosha sana muathirika hasa baada ya kuzimeza zinahitaji mtu aliyeshiba vizuri.Muda sahihi wa kuzimeza ni ukimeza tuu unaingia kulala,hufanya mtu hadi kupata kizunguzungu yani zinachosha kweli.Pia ujue kuhusu idadi ya Viral loads,pia itakusaidia kufahamu zaidi kuhusu kinga yake ipo yake katika hali gani.
3.Mlinde,Atakulinda.Maambukizi mapya ni hatari sana kwa mtu mwenye maambukizi.
4.Maandalizi mazuri kabla ya Tendo.Ni vyema ufanye maandalizi mapema hakikisha muccus zinakuwa nyingi kila kona,usitumie vilainishi.Natural one is good.
5.Usiende zaidi ya round tatu kwa siku (Bao tatu),madaktari hutoa maelekezo kuhusu Bed shows na nyakati sahihi za Show za kibabe.
6.Hakikisha mwenza wako anazingatia maelekezo yote aliyopewa na daktari hasa kuhusu Mlo kamili,Mazoezi,Matumizi shihi ya dawa,idadi ya round na maelekezo mengine.
N.B: Mimi wa kwangu nilikua nampeleka hadi Hospitali kufata dawa na maelekezo ya daktari.
Lakini pia wenza hawa wanaweza kuzaa na mtoto asipate maambukizi yoyote.Hata kama ndio mwenye maambukizi anaweza akashika ujauzito na akajifungua salama tuu na mtoto asipate maambukizi hata kidogo,ila kanuni hizo nimezitaja ni lazima zizingatiwe kwa 100%.
Kwakweli sitaki hata kujaribu my friend...imani hiyo sinaDon't try this at home.
Umetumwa wewe na hawa watoto wanaozaliwa na hawa wazazi wa ukimwi wanaolewa wengine wakigunduliwa wanaachwa daa!Habari wakuu
Uzoefu:Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019),katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote haya yale ya kujamiana na sote tulifurahia,kwasasa tumeachana lakini sina maambukizi hata tukipima sina maambukizi.
Kanuni za kuishi na mwenza mwenye maambukizi ya Ukimwi
1.Kumtanguliza Mungu na pia uwe na imani ya dhati kuwa huwezi pata maambukizi.
2.Ukweli na Uwazi.Jua taarifa zote za mwenza wako ikiwemo mahudhurio yake ya kliniki,maendeleo ya kinga yake ya mwili (Kama imepanda,imeshuka au kawaida),CD4 kati ya 500-1400 hawezi kukupa maambukizi hata mkifanya tendo,CD4 ya 1000-1500 hata akipimwa Virusi haviwezi kuonekana,CD4 ya chini ya 200 hapa ukijaribu tuu atakuambukiza.Inatakiwa ujue hadi maendeleo yake ya kumeza dawa za ARV's na uweze kumsimamia, hizi ni dawa ambazo hata kuzimeza tuu ni changamoto, huwa zinamchosha sana muathirika hasa baada ya kuzimeza zinahitaji mtu aliyeshiba vizuri. Muda sahihi wa kuzimeza ni ukimeza tuu unaingia kulala,hufanya mtu hadi kupata kizunguzungu yani zinachosha kweli. Pia ujue kuhusu idadi ya Viral loads,pia itakusaidia kufahamu zaidi kuhusu kinga yake ipo yake katika hali gani.
3.Mlinde,Atakulinda.Maambukizi mapya ni hatari sana kwa mtu mwenye maambukizi.
4.Maandalizi mazuri kabla ya Tendo.Ni vyema ufanye maandalizi mapema hakikisha muccus zinakuwa nyingi kila kona,usitumie vilainishi.Natural one is good.
5.Usiende zaidi ya round tatu kwa siku (Bao tatu),madaktari hutoa maelekezo kuhusu Bed shows na nyakati sahihi za Show za kibabe.
6.Hakikisha mwenza wako anazingatia maelekezo yote aliyopewa na daktari hasa kuhusu Mlo kamili,Mazoezi,Matumizi shihi ya dawa,idadi ya round na maelekezo mengine.
N.B: Mimi wa kwangu nilikua nampeleka hadi Hospitali kufata dawa na maelekezo ya daktari.
Lakini pia wenza hawa wanaweza kuzaa na mtoto asipate maambukizi yoyote.Hata kama ndio mwenye maambukizi anaweza akashika ujauzito na akajifungua salama tuu na mtoto asipate maambukizi hata kidogo,ila kanuni hizo nimezitaja ni lazima zizingatiwe kwa 100%.
Duh pmj na hayo Ila bdo mkuu , kuweka maisha rehab hvyo ni changamoto kwakweliHabari wakuu

😂😂😂mkuu umeona kipengele icho kimoja tu?Namba 5! Mbona hayo mahusiano ni tabuu
Yes i can... njoo P.M 😌Ninyi si ndio mmejaa kwenye uzi wa kimasihara? Leo hii mnaogopa HIV hivyo… Kwahiyo kule huwa mnafurahisha genge au?
Anyways sijawahi kuusoma uzi wenyewe kwahiyo nisiwashutumu bure ndugu zangu.
Mkuu mleta uzi kongole, lakini nini kimetokea mmeachana, binafsi nimesikitika can you share?
Sio booo sema buuuYanii booo uitie kwenye moto kweli
Ukimwi ni propagandaHaya mambo yapo! Mimi nikiwahi kuishi kimahusiano na mtu mwaka mzima na miezi 7 bila kujua anatumia dawa, hadi siku nilipoziona chumbani kwake, nilipaniki sana nikaenda kupima hospital nyingiii Niko salama hadi Leo,
Mambo haya yasikie tu kwa jirani.
Hivi, bila matusi, ujumbe haufiki?Acha kupotosha vijana pumbavu wewe, wenye ukimwi wachukuane wenyewe kwa wenyewe.
Uchezee shilingi kwenye shimo la choo?
Grill ndo nini tena mkuuWanachama wa chaputa na wanachama wa grill huu uzi hauwahusu
Kivipi Evelyn Salt ? Huamini! Ni wachache kwa sasa wenye ubavu wa kupima kwanza. Japokuwa pia,kama kaupata wiki ngapi zilizopita,mkipima si utamkuta salama!Unatuona sisi manyani 😁