1120ulimwengu
Senior Member
- May 23, 2013
- 104
- 159
- Thread starter
- #21
very nice nimefurah angalau umenikosoa kwa fact,ni kweli si may 30 2016,the year was 2019!Kabudi hakuwa waziri May 2016,aliteuliwa kuwa mbunge January 2017 je huo uwaziri wa May 30 2016 aliupataje? Uongo huo mdogo unafanya gazeti lote ulilo liandika lionekane porojo. May 30 2016 waziri wa mambo ya nje alikuwa Mahiga,Kabudi aliteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje mwezi March 2019.