Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 3,984
- 6,976
Habari, wana ndugu
Ni saa 7:30 usiku huu nikijaribu kutafuta majibu sahihi ya ni jinsi gani naweza kuagiza bidhaa kutoka China hadi kunifikia mikononi mwangu kwa uhakika zaidi.
Nina application ya Alibaba kwenye cm yangu na hua bidhaa zinanivutia kweli, ila cjui naanzaje kuagiza, na hata ningeweza kuagiza ila mzigo wangu naupataje na wapi? Malipo ya usafiri yapoje na mzigo unafika muda gani baada ya kuweka oda?
Hayo ni maswali ambayo sina majibu hadi muda huu kwani cjawahi kuagiza kabla,.Tafadhali naomba ambae ni mzoefu na ana ujuzi katika hili, naomba majibu PM.
Asanteni sana na MUNGU Awabariki.