Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Upumbavu ni nini? Hoja ipi ni ya kipumbavu? Unathibitisha vipi hoja hiyo ni ya kipumbavu kweli, na si wewe tu unaiita ya kipumbavu kwa sababu huipendi tu?
Upumbavu ni kitu chochote kisicho na faida kwa jamii pana kwa ujumla wake

Kusema Mungu yupo Hakuna madhara yoyote kwa jamii nzima kama kusema Mungu hayupo
 
Hapaan.

Kusema Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza kuleta madhara mengi katika jamii.

Tumeona jinsi imani za Mungu kuwepo zilivyodhoofisha maendeleo ya kisayansi.

Galileo aligundua dunia inazunguka jua, jua halizunguki dunia. Ukweli huu ulikuwa kinyume na imani za kidini zilizosema kwamba jua linazunguka dunia.

Imani za kidini za kuamini Mungu kaiumba dunia na kaiweka katikati ya ulimwengu zilimpinga Galileo na kusababisha maendeleo ya kisayansi kuzorota.

Watu wanakataa dawa na kuamini watapona kwa kuonbewa jwa Mungu, huu ni ujinga.

Watu hawafanyi kazi, wanaamini wakimuomba Mungu atawasaidia, huu ni ujinga wenye madhara makubwa.

Watu wanaishi kwa hofu ya Mungu ambaye hayupo, huu ni ujinga.

Watu wanaibiwa hela kwa kuambiwa wamtokee Mungu anbaye hayupo, huo ni ujinga.

Kuamini Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza juwa na madhara makubwa sana.
 
Kama Kawaida yako, maelezo mengi halafu point Hakuna hata moja

Kama wewe umeshindwa kumuona Mungu kwenye maisha yako usitake kuambukiza wengine ujinga wako

Mungu hafungwi na maelezo ya kwenye Biblia au Quran na maelezo ya mwanasayansi Galileo, Mungu ni ya zaidi ya hivyo vyote.
 
Umetoa dai kwamba imani kwamba Mungu yupo haina madhara.

Nimekuonesha jinsi imani ya Mungu ilivyo na madhara.

Inaonekana wewe ni wale wa "sitaki shule" ukiwekewa hoja za kimantiki unaogopa kusoma na kusema "haya maelezo mengi".

Hilo tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo asingeumba watu wajinga na waoga wa kusoma kama wewe.
 
Tuthibitishie kama MUNGU hayupo..!?
Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu huyo ni dhana ya kufikirika tu, isiyokuwepo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo na makisio tu

Ukisema Mungu huyo yupo, eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Otherwise huyo Mungu ni makisio yako tu, imaginations just an illusion.

Na huwezi kuthibitisha yupo.
 
Umetoa dai kwamba imani kwamba Mungu yupo haina madhara.

Nimekuonesha jinsi imani ya Mungu ilivyo na madhara.

Inaonekana wewe ni wale wa "sitaki shule" ukiwekewa hoja za kimantiki unaogopa kusoma na kusema "haya maelezo mengi".

Hilo tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo asingeumba watu wajinga na waoga wa kusoma kama wewe.
Sioni madhara yoyote kwa mtu kuambiwa Mungu yupo

Madhara yote ulioyaandika hapo ni Ukosefu wa elimu sahihi kuhusu Mungu

Siyo kila kitu unachoomba kwa Mungu lazima akupe, hata wewe mwenyewe siyo kila kitu unachoombwa na mwanao lazima umpe

Mimi Naamini Mungu yupo na anatenda kazi
 
Twende polepole.

Kama Mungu hayupo, mtu kudanganywa kwamba Mungu yupo hakuna madhara?
 
Hakuna madhara yoyote hasa kama ataambiwa ukweli juu ya asili ya Mungu

Ila kama ataambiwa Mungu yupo na kila unachomuomba anakupa hapo madhara yatakuwepo
 
Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu huyo ni dhana ya kufikirika tu, isiyokuwepo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo na makisio tu

Ukisema Mungu huyo yupo, eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Otherwise huyo Mungu ni makisio yako tu, imaginations just an illusion.

Na huwezi kuthibitisha yupo.
Unafikiri ulimwengu unajiendea tu bila ya mipangilio ya huyo unayesema hayupo? na vipi uumbwaji wako
 
Kama mtu akikwambia Mungu yupo, na Mungu ni mavi yake, na kula hayo mavi yake ni ibada nzuri, kula hayo mavi kama ibada hakutakuwa na madhara?
Hakuna mtu anaweza kuniambia ujinga huo halafu nimwache bila kumpa kipigo cha mbwa koko

Kwa mjibu wa Biblia Mungu alisema na tufanye mtu kwa mfano wetu, hivyo ulivyo wewe ni mfano wa Mungu!!

Sasa iweje mwehu mmoja aniambie ujinga huo na mimi nimwangalie tu?
 
Back
Top Bottom