mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,096
- 10,004
Sa unafanya nini kwa watu hapomm nlilitazama nkiwa darasa la 3 je natakiwa kuondoka nyumbni...?
sina pa kwenda mkuuSa unafanya nini kwa watu hapo
Oa mwaya je.kataa ndoa wanasemaje?? dronedrake mwenzio anaoa??Sasa nioe tena maana kubaki bila mke najidhalilisha na huu uzee😭
Oa mwaya je.kataa ndoa wanasemaje?? dronedrake mwenzio anaoa??
😃😄😄😆😅🤣🤣🤣 haya bwana ukishaoa nitagSitajali watasema nini ila kwa huu umri na haya mengi niliyoyaona sitakiwi kuwaogopa tena wanawake maana sasa mimi ni kibabu cha haja , nisije fia ndani kwa kukosa wa kunikanda mgongo kisa vijana akina dronedrake
Nitakujulisha mkuu😃😄😄😆😅🤣🤣🤣 haya bwana ukishaoa nitag
acha kihere hereNitakujulisha mkuu
Niliondoka nikarudi
Kuna nini tena jamani Unique Floweracha kihere here