Je ulishawahi kukaa chini ukatulia ukaanza kuyasoma mawazo yako?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,784
9,551
Habari mdau.

Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka sasa, je umegundua nini?

Mimi nmegundua yafuatayo

1. Life la chuo ni kuvaa vizuri kuhudhuria events mbali mbali kisha kupiga picha na kupost mtandaoni yaani ni life la mapicha picha na kupost.

2.Nilikuwa mchangiaji mzuri wa jukwaa la Mapenzi na mahusiano na nilitoa sana ushauri kwenye comment cha ajabu hata girlfriend nilikuwa sina. Jukwaa langu pendwa lilikuwa MMU

3. Baada ya chuo niliacha kupost hovyo hovyo facebook, instargram na watsapp status maana nilianza kuona ni utoto.

4. Life la mtaani linakaba sana linafanya mtu asishinde mtandaoni

5. Nmegundua ni rahisi kutoa ushauri wa biashara hapa JF watu wakauelewa ilihali ukiwa haujawahi kumiliki biashara yoyoye ndicho wengi wanachokifanya ila niliingia kwenye biashara mwaka 2020 nkaangukia pua

6. Niliaanzisha nyuzi za kuomba ushauri ni wapi kuna urahisi wa maisha ni baada ya maisha kunichapa, ukiona nyuzi za namna hii jua mtu kapoteza dira

Tupe experience yako
 
Habari mdau.

Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka sasa, je umegundua nini?

Mimi nmegundua yafuatayo

1. Life la chuo ni kuvaa vizuri kuhudhuria events mbali mbali kisha kupiga picha na kupost mtandaoni yaani ni life la mapicha picha na kupost.

2.Nilikuwa mchangiaji mzuri wa jukwaa la Mapenzi na mahusiano na nilitoa sana ushauri kwenye comment cha ajabu hata girlfriend nilikuwa sina. Jukwaa langu pendwa lilikuwa MMU

3. Baada ya chuo niliacha kupost hovyo hovyo facebook, instargram na watsapp status maana nilianza kuona ni utoto.

4. Life la mtaani linakaba sana linafanya mtu asishinde mtandaoni
Kadiri unavyokua na akili inakua,IPO siku utaacha kabisa kutumia smartphone
 
Niliacha kabisa nkawa naingia JF kwa kutumia kitochi tu changamoto ikawa namna ya kuweka aya ikanilazimu niwe naandika lundo la maneno bila aya ila mods walikuwa wananisaidia sana.

NB sipost fb wala insta huu mwaka wa 5 sijapost kabisa, smartphone natumia kwqajili ya JF na mambo mengine
 
Mimi natumia insta kwasababu ya biashara tu,ila Facebook nimesahau password natamn nikafute ILE account nashindwa
 
Back
Top Bottom