Je OBD II app na OBD II elm327 bluetooth

Mechanic 97

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
511
833
Wakuu endapo Nitakuwa na app na kifaa nilicho ainisha hapo chini je endapo nitainunua app nitafanikiwa kuscan code za gari yoyote Ile ambayo niyakuanzia 2000. Note nataka iwe kama huduma ya kibiashara
Screenshot_20240417-171204.jpg
IMG_20240417_171541_396.jpg
IMG_20240417_171548_311.jpg
 
Kwahiyo una maoni Gani mkuu ni fail au?
Unapiga Mech pekee au na Auto electrical?

Ukitaka kununua hizo mashine cheki specs zake.... hizo za bei chee huwa zina function chache mno mpaka ulipie tenaaa na bado itawork kwenye model chache za magari.

Cha kukushauri tembelea fundi yoyote anayefanya hiyo shughuli akupe ABC.

Nb: usisahau nijibu swali nililokuuliza
 
Mech in simple machine like bicycle na motorcycle, electronics plus auto electrical
 
Back
Top Bottom