Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Nafikilia kuwa hii ya Nyerere na kule Mtera ni tofauti, pale Nyerere mradi bado mbichi as kuwashwa mitambo yote, laiti ingekuwa on alafu tukasikia kuzimwa na kumwagwa maji lazima swali lako lingekuwa mujarabu.
Na huu ndio unafiki wenyewe, imagine January angezima mtambo alafu wiki mbili baadae afungulie maji kisa yamejaa mno!! Kama naona ambavyo mngetaka anyongwe hadharani!
 
..haya sasa mtoto wa nje wa kagame naye kazima mitambo na kufungulia maji.

..maza amtumbue mtoto wa kagame maana anauwa wananchi wa rufiji kwa mafuriko.
 
Nafikilia kuwa hii ya Nyerere na kule Mtera ni tofauti, pale Nyerere mradi bado mbichi as kuwashwa mitambo yote, laiti ingekuwa on alafu tukasikia kuzimwa na kumwagwa maji lazima swali lako lingekuwa mujarabu.
Kwani wakati January na Chande wakisema maji yapunguzwe mitambo yote ilikuwa imewashwa??? Mlimwonea January sana na kutaka kumchafua kisiasa kwa maswala haya na mengine... Sasa zigo Hilo hapo akawaachia, pambaneni nalo
 
Wataalam wameshauri hivyo? au ni yeye kaforce kama Makamba walivyolaazimisha
Makamba aliforce wapi? Kwamba wataalamu washauri ufungulie maji ili yakalete mafuriko kwa wanakijiji? Hivi angefanya Makamba mngeelewa kweli?

Acheni chuki kwenye makosa tuseme ni makosa, akifanya Biteko mnasema wataalam wameshauri akifanya makamba mnasema anahujumu!!
 
Wataalam walishauri maji yasifunguliwe, Makamba akafosi ikaleta mgao.
 
Back
Top Bottom