Je Ndoto ya kugombea Urais inaweza kusahaulika kwa kuvimbishwa Asali?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,508
11,321
Ebu tupitie vugu vugu la kuelekea uchafuzi mwaka 2025.

Rais wa sasa huyu mtoeni na hana sifa za umri na kikatiba, wajibu wake kiumri, kichama na kikatiba yeye anapaswa kwenda kulea wajukuu huo ndio umri sahihi wa miaka 65 mwakani.

Pia genge lolote linalotaka kujisahaulisha mtazamo wao unaweza kubebwa na ulafi japo ikumbukwe hesabu zinakataa.

Umri
1. Hussein Mwinyi -57
2.January Makamba 50
3. Mwigulu Nchemba 49
4. Ridhiwani Kikwete 44
5. Dk . Emmanuel Nchimbi 59

Hesabu za Utumishi kwa mlengo wa kupokezana vijiti vya Imani pia zinakataa kwa namna yoyote.

Je, embe chini ya mnazi linaweA kuharibu ndoto za watu kwa awamu nyingine tena.

Je mnazi kwenye shamba la majembe unaweza kutumia jeuri, kibri na maguvu?

Ngoja tuone na madunduzi yanavyo dunda dunda na midundozi.

Msione wamelala wapo tu ila hawana usingizi wakati ukifika tutayaona mengi.

Ni hayo tu maisha yaendelee

Karibu kwa kimuhemuhe

Wadiz
 
Mkuu, tuwekee na umri wa wastaafu kipindi wanaingia madarakani!

1. Hussein Mwinyi -57
2.January Makamba 50
3. Mwigulu Nchemba 49
4. Ridhiwani Kikwete 44
5. Dk . Emmanuel Nchimbi 59
Hao, hakuna mwenye sifa hata moja tu ya kuwa namba moja wetu, ukiachilia mbali kuwa ni raia.

Jiwe ameniwekea standards za juu sana za raisi nimtakaye, kwa hawa wanaotamani!
 
1.Ally Hassan Mwinyi -55(1985)
2.Mkapa Benjamin -57 (1995)
3.Kikwete Jakaya - 55(2005)
4Magufuli John Pombe- 55 (2015)
5.Bibi Yenu sasa an 64 hadi sasa.
 
Ebu tupitie vugu vugu la kuelekea uchafuzi mwaka 2025.

Rais wa sasa huyu mtoeni na hana sifa za umri na kikatiba, wajibu wake kiumri, kichama na kikatiba yeye anapaswa kwenda kulea wajukuu huo ndio umri sahihi wa miaka 65 mwakani.

Pia genge lolote linalotaka kujisahaulisha mtazamo wao unaweza kubebwa na ulafi japo ikumbukwe hesabu zinakataa.

Umri
1. Hussein Mwinyi -57
2.January Makamba 50
3. Mwigulu Nchemba 49
4. Ridhiwani Kikwete 44
5. Dk . Emmanuel Nchimbi 59

Hesabu za Utumishi kwa mlengo wa kupokezana vijiti vya Imani pia zinakataa kwa namna yoyote.

Je, embe chini ya mnazi linaweA kuharibu ndoto za watu kwa awamu nyingine tena.

Je mnazi kwenye shamba la majembe unaweza kutumia jeuri, kibri na maguvu?

Ngoja tuone na madunduzi yanavyo dunda dunda na midundozi.

Msione wamelala wapo tu ila hawana usingizi wakati ukifika tutayaona mengi.

Ni hayo tu maisha yaendelee

Karibu kwa kimuhemuhe

Wadiz
Mwigulu na Nchimbi hizo namba mbona kama magumashi.

Mwigulu anakosaje 50+...

Nchimbi naye anakosaje 60+...
 
Back
Top Bottom