Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,505
- 31,173
Kwenye kuhesabu kilometers na mileage za kila mkoa Kuna zero na hapo kwenye zero ndio huanzia sifuri ya mkoa kwenda mikoa mingine Sasa kwa morogoro Kuna alama iliwekwa na mjerumani je Nani anajua ilipo?
Mimi naifahamu barabara kwa anaeijua aseme! Na kwenye Uzi huu kila mtu ataje zero point ya mkoa wake!!
Mimi naifahamu barabara kwa anaeijua aseme! Na kwenye Uzi huu kila mtu ataje zero point ya mkoa wake!!