Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

squat for self defence? au umekosea neno- mwanaume piga karate achana na vitu vya kike mkuu
Mkuu mimi nafanya mazoezi yote, halafu mwili mkakamavu unabebwa pia na misuri imara ya miguu,
Kingine kwa sisi wanaume ni mazoezi muhimu haswaa, kwa heshima ya ndoa? Ni hatari mkuu
 
Hi!
Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now,
Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo,

Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya,
Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160
Je! Wataalamu haiwezi leta madhara yoyote maybe.

MUandiko mbaya kumradhi

Sababu ya afya tu nafanya mazoezi, sasa self defense against? Hivi hata nikiwa na kitambi kama Marehemu Komba, na panga, wewe na mazoezi yako ya self defense hutoki.
 
Safi ingawa hapo kwenye squats ungepunguza uzito kidogo ila ni vema nawe uwe na 75 kurudi chini
Ukiwa unainua sana Chuma lazima upende kula hivyo uwezekeno wa kuwa na uzito mkubwa unakuwa mkubwa
Penda kula kabla ya 1 usiku ili kupunguza uzito
 
Kwanza Hongera kwa kufanya mazoezi. Ni jambo jema sana ila pia linapaswa kufanywa kwa usahihi.

Cha kwanza cha kuzingatia, uzito wako ni mkubwa sana. Utakuwa unafana na mnyama kifutu. Ni aina ya nyoka ambaye ni mnene, alafu mwili wote unalingana.

Tafadhali punguza uzito wako uende kwenye 70kg. Ikizidi sana 73.

Juu ya athari za squats, naam zipo.
Kuwa makini sana na uti wa mgongo. Ikiwezekana vaa ule mkanda maalum, itakusaidia isi-stress uti wa mgongo. Huo uzito ni mkubwa sana.

Lakini pia, squats za uzito mkubwa huchosha sana joints. Hasa za kiunoni na magotini. Pengine muda huu unaweza usisikie, lakini muda utakavyoenda basi utaanza kusikia magoti yanauma sana. Maana yake viungo vimechoka.

All in all, squats ni mazoezi mazuri sana. Inaleta stamina na ufit. Waambie wale vijana wa kimoja chali, wafanye na watapata uwezo wa kumudu shughuli.
 
Wakuu mazoezi nafanya daily BMI yangu 166 kg 85 Sasa najitahidi kukata weight nachemka Sasa sijui nakosea wapi, pili mara moja moja napiga bia 2 kwa wiki mara 2 je nakosea? Kushauri wenu
 
Kwanza Hongera kwa kufanya mazoezi. Ni jambo jema sana ila pia linapaswa kufanywa kwa usahihi.

Cha kwanza cha kuzingatia, uzito wako ni mkubwa sana. Utakuwa unafana na mnyama kifutu. Ni aina ya nyoka ambaye ni mnene, alafu mwili wote unalingana.

Tafadhali punguza uzito wako uende kwenye 70kg. Ikizidi sana 73.

Juu ya athari za squats, naam zipo.
Kuwa makini sana na uti wa mgongo. Ikiwezekana vaa ule mkanda maalum, itakusaidia isi-stress uti wa mgongo. Huo uzito ni mkubwa sana.

Lakini pia, squats za uzito mkubwa huchosha sana joints. Hasa za kiunoni na magotini. Pengine muda huu unaweza usisikie, lakini muda utakavyoenda basi utaanza kusikia magoti yanauma sana. Maana yake viungo vimechoka.

All in all, squats ni mazoezi mazuri sana. Inaleta stamina na ufit. Waambie wale vijana wa kimoja chali, wafanye na watapata uwezo wa kumudu shughuli.
Umenipa ushauri mzuri sana, Mungu akubariki mkuu,

Pia nikweli squats kwenye tendo la ndoa lina matokeo chanya mnoo,
 
Hi!
Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now,
Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo,

Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya,
Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160
Je! Wataalamu haiwezi leta madhara yoyote maybe.

MUandiko ngalia na umri wako

Angalia na umri wako, miaka inaenda. Mazoezi/six pack hayatakusaidia chochote. Miaka hiyo kumi ungekuwa serious na kusimamia mradi wako wowote ungekuwa uko mbali. Mambo ya mazoezi ni mambo ya ujana na utoto. Pambana uwe na vitu vyako ili uweze kuwa na familia bora. Kama hutaki endelea tu kupoteza muda kwenye ma-gym.
 
Safi ingawa hapo kwenye squats ungepunguza uzito kidogo ila ni vema nawe uwe na 75 kurudi chini
Ukiwa unainua sana Chuma lazima upende kula hivyo uwezekeno wa kuwa na uzito mkubwa unakuwa mkubwa
Penda kula kabla ya 1 usiku ili kupunguza uzito
Ntazingatia mkuu,
Kweli nakula sana
 
Back
Top Bottom