Je? kuna uwezekano waajiriwa wa serikalini kuishitaki serikali kwa kuingia mkataba wenye kuhatarisha ajira zao

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,833
2,422
Habari ndugu zanguni.

Nahitaji kuelimishwa hili, kama kuna uwezekano kuishitaki serikali endapo itaingia mkataba wowote ambao utahatarisha ajira za waajiriwa wao.

Nauliza tu ili niweze kutanua uelewa wa baadhi ya mambo.
 
umesaini au hukusaini 🐒

uliusoma vizuri, ukaelewa na kuridhika na vigezo na masharti ya kazi husika 🐒

kuna aliekulazimisha usaini, au ulisaini kwa hiari yako mwenyewe bila shuruti, tena kwa bashasha ya kupata ajira baada ya kusota sana mtaani 🐒🐒
 
Ndio unaweza ,ila katika mazingira ya redundancy pekee . Wafanyakzi wa serikali hawapotezi ajira hata sekta zote wapewe watu binafsi ,watapelekwa hata halmashauri wakajazane.

UKipoteza kazi unaweza kuwashtaki ila ukihamishwa big No ,kwa sababu serikali inahamisha kutwa wewe unaajiriwa na serikali sio TPA ,waajiri wao wanakupeleka sehemu yoyote ile kwa mda wowote ule ..
 
Back
Top Bottom