Je, kama hakuna Katiba Mpya wala Tume Huru kuna haja ya uchaguzi?

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima

Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm.

Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya Uchaguzi nchi nzima Maana mda umeisha sana mwakani ni Uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu.

Kuna haja gani ya Uchaguzi kama hakuna katiba na tume huru ya uchaguzi?
 
IMG-20230905-WA0001.jpg
 
Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima

Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm.

Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya Uchaguzi nchi nzima Maana mda umeisha sana mwakani ni Uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu
Kuna haja gani ya Uchaguzi kama hakuna katiba na tume huru ya uchaguzi
kuna haja ya mapinduzi.
 
Tunaenda kwenye maandamano na migomo mpaka tupate KATIBA MPYA.

Brace yourself
Kuna haja ya mainduzi

Je majeshi yetu yanaona kwamba hadhi yetu inashuka na Tunafanywa watwana na watu wanaotetea na waliokataliwa na wanachi
 
Kuna haja ya mainduzi

Je majeshi yetu yanaona kwamba hadhi yetu inashuka na Tunafanywa watwana na watu wanaotetea na waliokataliwa na wanachi
Wanajeshi ni hatari zaidi hatutapata KATIBA MPYA wala nini tena huenda ndio yataanza kuua Wanasiasa na Wanaharakati sijui kama unakumbuka Majeshi yalivyoipora na kuua huko Nigeria mfano kisa cha Hayati Ken Sarowiwa.

Usifikiri Majeshini hakuna rushwa unakumbuka Magufuli aliwakabizi Wajeshi ile TFDA sote twajua nini kilitokea
 
Kitu pekee nilicho na HAKIKA nacho ni,

HATOGOMBEA!!!

Na mwisho wa CCCM ni 2026. Ambapo Katiba mpya itakamilika mwaka huo, na WARIOBA atazindua KATIBA hiyo.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom