Je honda wave 110i bei yake ni shilingi ngapi ikiwa used na ikiwa dukani?

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
336
144
Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalamu ndio maana ikawepo JamiiForums! Bei ya wave 110i dukani ni bei gani? Na bei ya used ni bei gani?
1396663750505.jpg
 
Back
Top Bottom