Hili ni jbu sahihi, wakt unapofk kila mmoja anapgania nafs yakeCCM huwa haiandai maraisi Bwana Mdogo!
Watanzania mna akili za hovyo sana! Mna usaha kichwani.Wakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
Ni hao tu.Mimi usinihesabu.Watanzania mna akili za hovyo sana! Mna usaha kichwani.
Da. Inasikitisha. Nadhani ni elimu yetu. Mtu hatafakari mara mbili, anakuwa ameshafanya conclusion.Watanzania mna akili za hovyo sana! Mna usaha kichwani.
Raisi haandaliwi huwa ni Karama Kutoka Kwa Mungu mbona watanzania huwa hatuna Akili Raisi mungu ndio anapanga awe nani.Wakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
CCM hii wakiamua hata Kingwendu anaweza kuwa Rais.Wakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
Anaweza pia akawa rais, mbona magufuli alikuwa?Wakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
Sasa kwa nini tunapiga kura kumchagua?Raisi haandaliwi huwa ni Karama Kutoka Kwa Mungu mbona watanzania huwa hatuna Akili Raisi mungu ndio anapanga awe nani.
Hizi ni zamu tu za mawaziri kamili kwenda kupokea wageni airport kunapokuwa na wageni Wengi….hata DOROTH GWAJIMA na Angellah Kairuki huwa wanapewa hizo nafasiWakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?