Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,643
- 106,768
Mpaka Nyerere anastaafu urais 1985 Kikwete was a nobody kwenye chama au serikali.Kuna watu humu, walikuwa wanatudanganya kuwa, Kikwete alikuwa mwandani wa Nyerere.Na alikuwa anampelekea Nyerere Siri zote za nchi. Na kwamba Nyerere...
Tulikuwa tunawajua kina Salim, Makweta, Makinda, Mkapa, Chiduo, Machunda etc. Nje ya waliosoma naye na kufuatilia DARUSO na habari za siasa za chama waliofuatilia makamisaa wa chama jeshini, not only Nyerere, but also the general public did not know Kikwete.
Kikwete kaanza kujulikana kwenye siasa za kitaifa wakati wa Mwinyi.
Kipindi cha Nyerere mimi nilikuwa na kidaftari, nilikuwa naandika mawaziri na manaibu waziri wote, nilikuwa natatizwa sana na wazo la kwamba Nyerere akifa katika hawa waliobaki wote hakuna Nyerere mwingine. Nikasema tukiwa wakubwa viongozi watakuwa dhaifu sana. Hapo mtoto wa darasa la nne.
Na utabiri wangu umetimia.