kanamaheri
Member
- Sep 24, 2021
- 89
- 75
Tulianza mchakato wa kuandika katiba mpya mwaka ule wa 2011 tukaenda mpaka 2014, fedha kibao zikatumika kugharamia wajumbe wa katiba mpya, , leo tupewe tena miaka mitatu kupata elimu kisa tuu kuna kizazi hapa katikati kimekuja mnataka kusema kuwa kila kizazi kipya kikizalisha Tanzania tutakuwa tunaandika katiba.. washauri wa mama yetu tunaomba ashauriwe tena na tena miaka mitatu elimu raslimali fedha nyingi tulitumia kuandika iliyokwama, je, kama taifa tutakuwa tuuu tunazungumzia kuhusu katiba miaka yote na kutengenezeana fedha tuu, wajumbe wale kumbukeni walivyokuwa wengi kodi zetu zikatumika zipoteee hivi hivi!!! Aaaaaaaaaahhh nchi hii!! hapana miaka 3 elimu tunachukua digrii!!!!?