Ishara ya kukomaa kiakili

Nov 6, 2016
83
216
WIKO LA COMRADE

Ukitaka kujua kwamba akili yako imeshaweza kukua ni endapo;

1. Unaona kuna fursa ambayo inaweza kukupa maisha mazuri siku moja.

2. Ukiwa na uwezo wa kuvumilia maumivu ya kukataliwa, kusingiziwa, kunyimwa jaki yako, kuchukiwa bila sababu.

3. Ukiwa una weza kuendelea kufanyia kazi wazo ambalo unaliamini wewe, pamoja na kelele nyingi za wakatisha tamaa, watisha watu, wazodoaji, na wapinga mambo wanaokuja kwa gia za ukosoaji.

Watu wengi wanapoteza mwelekeo kutokana na mazingira ya ukinzani yaliyopo kwenye hii Dunia.

Keep it up.

Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
0762212623

IMG-20240228-WA0099.jpg
 
WIKO LA COMRADE

Ukitaka kujua kwamba akili yako imeshaweza kukua ni endapo-:
1. Unaona kuna fursa ambayo inaweza kukupa maisha mazuri siku moja
2. Ukiwa na uwezo wa kuvumilia maumivu ya kukataliwa, kusingiziwa, kunyimwa jaki yako, kuchukiwa bila sababu
3. Ukiwa una weza kuendelea kufanyia kazi wazo ambalo unaliamini wewe, pamoja na kelele nyingi za wakatisha tamaa, watisha watu, wazodoaji, na wapinga mambo wanaokuja kwa gia za ukosoaji.

WATU WENGI WANAPOTEZA MWELEKEO KUTOKANA NA MAZINGIRA YA UKINZANI YALIYOPO KWENYE HII DUNIA.

KEEP IT UP.

Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
0762212623
www.camstore.co.tzView attachment 2952818
Hayo mengine nakuunga mkono, ila hapo kwenye kuvumilia maumivu ya kunyimwa haki yako HAPANA. kwanini usiipambanie hako yako mpaka uipate ?
 
Back
Top Bottom