The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,340
Ubalozi wa Sweden nchini Iraq umefungwa na balozi wa Sweden amefukuzwa nchini Iraq.
Sweden imefunga ubalozi huo baada ya waandamanaji kuuchoma moto kwa sababu ya tukio la kuchana chana na kupiga teke Quran lililofanyika nchini Sweden siku ya Alhamisi.
Sweden imesema inalaani kitendo cha waandamanaji kudhalilisha Quran nchini humo na haiungi mkono matukio kama hayo lakini hiyo ni haki ya waandamanaji na inalindwa kisheria.
Toka mwaka huu uanze hii ni mara ya 3 quran inachomwa moto na kuchanwa chanwa hadharani na tukio la hivi karibuni siku ya Idd raia wa Iraq anaeishi Sweden alichoma Quran hadharani nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.
Waandamanaji wameahidi hivi karibuni watachoma tena Quran moto.