Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,820
- 45,646
Dini ya Kiyahudi wanaamini dini yao ilianza kipindi cha Abrahamu
In short ilikuwa ni dini ya kweli mwanzoni ila wakaja kuchanganya na mafundisho ya kipagani hasa kutoka Ugiriki
Wakaja kupoteana kabisa kipindi cha Yesu, Mafarasiyo na Masudukayo waliokuwa walimu wa dini ya Kiyahudi walipoacha torati na kufundisha sheria zao
Hapa ndipo Yesu akaanzisha Ukristo ili kuendeleza ibada inayokubalika kwa Mungu badala ya dini ya Kiyahudi