Andazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 629
- 1,098
Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga
Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga
Nikafanikiwa kuibypass ila shida network haisomi na pia ukiizima ikiwaka inalock tena
Wadau mwenye msaada nimetengemeza fake proof of purchase nikaituma apple ila najua haitofanya kazi
Simu imetumika zaidi ya 2yrs na huyo alieniuzia ambapo kabla yake ilitumika na mshikaj mwingine ambaye yeye ndio alipeleka kwa fundi kuibypass
Nisaidieni mtu anayeweza kufuta hii lock permanently kwa gharama nafuu saaaana