Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na India katika teknolojia ya ulinzi na ya makombora ya kujihami.
Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.
Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.