Inashangaza Kwa Serikali Kupunguza Bajeti ya Wizara ya Maji Wakati Mahitaji ni Makubwa.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,674
51,539
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi Bilioni 627.

Kwa sekta nyeti kama ya Maji harafu unapunguza Bajeti ni jambo la kushangaza.Ni vyema wabunge wasikubliane na huu utaratibu.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1788556342606639213?t=ntMZhkJD1fT28iocpZeRpA&s=19

My Take
Ilianza Wizara ya Nishati na Sasa ni Wizara ya Maji,zote Mbili ni Wizara Nyeti ila Zimepunguziwa Bajeti zake.

Utaratibu huu Haukubaliki,punguzeni Bajeti kwenye Wizara za Madini,Maliasili na Utawala sio kwenye Wizara Zenye maslahi na Wananchi.

View: https://www.instagram.com/p/C6zLQOhLO8t/?igsh=MXd6aGFuZ3RkejNtZA==
Pia soma Serikali imetumia busara gani kupunguza Bajeti ya Wizara ya Nishati wakati kuna Maombi Mengi ya Kuunganisha wateja wapya?
 
Kilio cha watanzania mwaka huu ni ubovu wa miundombinu Tu
Hayo maji tutachimba visima vya kienyeji haina shida
Ingekuwa ni rahisi hivyo vilio visingekuwepo.

Hujui wewe gharama ya mda na Nguvu kazi inayopotea Kwa Kufuata maji.Sio.kila sehemu unaweza chimba visima vifupi ukipata maji.Maji ndio uhali .

Bila maji tunakufa ila bilabarabara hatufi.
 
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi Bilioni 627.

Kwa sekta nyeti kama ya Maji harafu unapunguza Bajeti ni jambo la kushangaza.Ni vyema wabunge wasikubliane na huu utaratibu.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1788556342606639213?t=ntMZhkJD1fT28iocpZeRpA&s=19

My Take
Ilianza Wizara ya Nishati na Sasa ni Wizara ya Maji,zote Mbili ni Wizara Nyeti ila Zimepunguziwa Bajeti zake.

Utaratibu huu Haukubaliki,punguzeni Bajeti kwenye Wizara za Madini,Maliasili na Utawala sio kwenye Wizara Zenye maslahi na Wananchi.

View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1788560832902672560?t=_GeBA4jjS2NPBFrT9DQS6w&s=19

ILI WAPATE BAJETI YA KINUNUA V8, CCM NI JANGA LA TAIFA HILI
 
Mama ndio anapeperusha bendera na ndio mbeba dhamana ulitaka ziendelee wapi?
Huwa hakuna mbeba dhamana kwenye mambo mazuri tu halafu makosa na mapunugufu iwe dhamana habebi yeye. Serikali inaongozwa na Samia na ndio maana zikiongezwaga pesa za bajeti kwenye wizara huwa mnakuja kumsifia ila zikipunguzwa yeye hahusiki.
 
Umemsikia Lisu anamtaja nani tofauti na Mama huko wanakopayuka?
 
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi Bilioni 627.

Kwa sekta nyeti kama ya Maji harafu unapunguza Bajeti ni jambo la kushangaza.Ni vyema wabunge wasikubliane na huu utaratibu.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1788556342606639213?t=ntMZhkJD1fT28iocpZeRpA&s=19

My Take
Ilianza Wizara ya Nishati na Sasa ni Wizara ya Maji,zote Mbili ni Wizara Nyeti ila Zimepunguziwa Bajeti zake.

Utaratibu huu Haukubaliki,punguzeni Bajeti kwenye Wizara za Madini,Maliasili na Utawala sio kwenye Wizara Zenye maslahi na Wananchi.

View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1788560832902672560?t=_GeBA4jjS2NPBFrT9DQS6w&s=19

Pia soma Serikali imetumia busara gani kupunguza Bajeti ya Wizara ya Nishati wakati kuna Maombi Mengi ya Kuunganisha wateja wapya?

View: https://www.instagram.com/p/C6yOrcEo4un/?igsh=a3o3b2s0dGltcjQ5
 
Back
Top Bottom