Images: Pres Barack Obama in Senegal

:llama:Naamini atakapofika hapa hakuna atakayeruhusiwa kupiga picha maana vibaka wamezidi mno Bongo!
 
i-hdVN2Lx-L.jpg
Senegalese women and children in traditional garb await the arrival of U.S. President Barack Obama and members of his family on Goree Island near Dakar, Senegal, June 27, 2013. Obama visited the island on Thursday where African slaves in past centuries were shipped west. REUTERS/Jason


i-RSCnPn7-L.jpg


 
  • Thanks
Reactions: Paw
Huyo mama Joyce Banda nae vip tena apo?
Asije akawa anamwambia unajua ukienda Tz wapige bit maana Lake Nyasa letu lote toka zama za Ukoloni!
 
Nakubaliana na wewe kwenye hili

Obama si kwamba anapenda magay,ila ile dhambi na ule uchungu wa kubaguliwa unaweza kukubadilisha na ukakataa kiumbe yeyote asibaguliwe.Simtetei Obama lakini I understand where he comes from!
 
Obama si kwamba anapenda magay,ila ile dhambi na ule uchungu wa kubaguliwa unaweza kukubadilisha na ukakataa kiumbe yeyote asibaguliwe.Simtetei Obama lakini I understand where he comes from!

.
Basi kama kuna ubaguzi kwa viumbe ni ule wa Mungu aliouweka kati ya wana wake na shetani. Na chochote kile katika uumbaji ambacho kinywa cha Muumba kimenena dhidi yake hakuna aweye yote kutoka kokote kule anaeweza kuwa kunyume akafanikiwa. Maumbile yameumbwa kama yalivyo na kanuni zake. Kujaribu kuyaharibu maumbile ni kujiandaa kuvuna uharibifu. Kiza kipo na ni wakati wa usiku na nuru ipo na ni wakati wa mchana nuru pekee ndio iwezayo kuliondoa giza lakini sii hata siku moja giza linaweza kuiondoa nuru. Kweli ndio daima iliyotangulia, na uongo ulikuja nyuma kama jitihada za kuifanyia kweli vurugu. Hivyo ndivyo alivyo Mungu na shetani, tendo halali la ndoa na uzinzi, maumbile katika kanuni zake na ukinyume na maumbile nk. Maandiko matakatifu yamekataza mahusiano ya kingono kinyume na maumbile hivyo ni wajibu kumheshimu Mungu kuliko hata riziki yetu ya siku. Hata kama baazi hawamheshimu zaidi ya yule wa shimoni, Mungu muumba ameheshimika milele. Kupigia chupuo uhalali wa ndoa za jinsia moja ni kufanya jitihada za kuhalalisha kuzimu katika makazi ya uzao wa Adamu. WANA WA MUNGU TUILINDE MASKANI YETU KAMA WAKATI ULE TULIPOMFUKUZA SHETANI MBINGUNI KWA MSAADA WA MALAIKA MICHAEL APIGANAE UPANDE WETU!!
.
 
Hiyo picha ambayo wapo kwenye mkutano yupo Rais wa Liberia na Msumbiji. Waafrika kwa kupenda safari za masafa yaani badala ya kukutana naye Tanzania angeweza kuja kwa gari ameamua kwenda Senegal! Nasikia na jaji mkuu wa Kenya walikutana Senegal

Pia waafrika tunajidharirisha sana, mbona marais waliopita wa US kama Clinton, Bush na sasa Obama wakiwa nchi mmoja wapo ya Europe sijawai kusikia/kuona marais wa nchi jirani za Europe wakijisogeza nchi anapopita rais wa US? Wakati akiwa nchi mojawapo Africa, marais wa nchi jirani nao wanakusanywa kimafungu kuja nchi jirani US president anapofikia.Kulikoni waafrika??
 
Loooh! kumbe hata wazungu nao walifanya biashara za utumwa?! mie nilidhani waarabu tu maana wanasakamwa sana kwa biashara hii !leo nimefahamu
 
p062713ps-0778.jpg


President Barack Obama looks out a window as he and First Lady Michelle Obama tour the Maison des Esclaves (House of Slaves) Museum on Gorée Island, Senegal, June 27, 2013. (Official White House Photo by Pete Souza)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom