Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,576
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.

Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇

1.Ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi na Soko la Sokomatola via Tactic

2.Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi

3.Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272

4.Ujenzi wa Uyole Bypass km 50

5.Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50

6.Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.

7.Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12

8.Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa

9.Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect Mbeya DC,Busokelo na Rungwe DC

10.Ujenzi wa Chuo Cha ADEM-Mbeya na Upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia

11.Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

12.Ujenzi wa Skimu 12 za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela

13.Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira

14.Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe

15.Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).

16.Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)

17.Ujenzi wa Avocado Packaging House Rungwe DC

18.Ujenzi wa Jengo la Gorofa 2 la OPD Rungwe DC Hospital Makandana.

19.Ujenzi wa Tawi la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road.

20.Ujenzi wa Chuo Kikuu Udsm na Hospital ya kufundishia.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake unaendelea katika hatua mbalimbali.

Aidha Kuna miradi mingine mikubwa ameikamilisha ambayo ni pamoja na ifuatayo;
-Amekamilisha Majengo ya Utawala(DED&DC) Wilaya za Busokelo ,Mbeya DC na Chunya DC
-Amekamilisha jengo la Wodi ya VIP Hospital ya Rufaa ya Kanda Meta
-Amekamilisha Hospital ya Jiji Igawilo,Mbarali na Busokelo.
-Amekamilisha Majengo ya Wodi na Dharura Hospital ya Mkoa wa Mbeya
-Amenunua na kufunga CT Scan na MRI Machine Hospital za Rufaa na Mkoa,OPG X Ray Mbarali DC
-Amekamilisha ujenzi wa Kasumulu One Inspection Border Post Kyela(Tzn/Malawi) Border
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara ya Makongolosi-Chunga na kuizindua.
-Amekamilisha Mradi wa Maji Mbalizi na Chunya na kuzindua
-Amekamilisha njia ya mchepuko(Bypass) wa Mlima nyoka Uyole(Hakuna ajari tena,VP Mpango akizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara za lami km 21 za Tarura Wilaya za Rungwe na Busokelo via Agri-Connect
-Amekamilisha Ukarabati wa Meli ya MV Mbeya inafanya kazi.
-Na majengo mengine ya Taasisi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mwendesha Mashtaka na alizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Hospital Mpya 2 za Wilaya za Mbarali na Busokelo
-Amefanikiwa kukuza uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula eg pareto,mpunga na tumbaku.
-Amekamilisha Ujenzi wa Kituo Cha mauzo ya Madini ya Dhahabu

View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0

My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣

Itoshe tuu kusema Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.

View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6
 
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.

Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.

-Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi
-Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272
-Ujenzi wa Uyole Bypass km 50
-Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50
-Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.
-Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12
-Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa
-Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect km 17
-Ujenzi na upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia
-Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
-Ujenzi wa Skimu za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela
-Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira
-Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe
-Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).
-Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)
-Kufufuliwa Kwa Mbeya Cement

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake umeanza.

Aisha Kuna miradi mingine ameikamilisha na mingine Iko kwenye pipe line.

View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0

My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.

View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6

View: https://youtu.be/5yzM3kPHAbQ?si=65wDkyXheBB5TMCq
 
Kumekucha Mbeya 🔥🔥
Screenshot_20240124-052852.jpg
 
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.

Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇

-Ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi na Soko la Sokomatola via Tactic
-Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi
-Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272
-Ujenzi wa Uyole Bypass km 50
-Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50
-Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.
-Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12
-Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa
-Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect Mbeya DC,Busokelo na Rungwe DC
-Ujenzi na upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia
-Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
-Ujenzi wa Skimu 12 za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela
-Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira
-Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe
-Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).
-Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)
-Ujenzi wa Avocado Packaging House Rungwe DC
-Ujenzi wa Jengo la Gorofa 2 la OPD Rungwe DC Hospital Makandana.
-Ujenzi wa Chuo Kikuu Udsm na Hospital ya kufundishia.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake unaendelea katika hatua mbalimbali.

Aidha Kuna miradi mingine mikubwa ameikamilisha ambayo ni pamoja na ifuatayo;
-Amekamilisha Majengo ya Utawala(DED&DC) Wilaya za Busokelo ,Mbeya DC na Chunya DC
-Amekamilisha jengo la Wodi ya VIP Hospital ya Rufaa ya Kanda Meta
-Amekamilisha Hospital ya Jiji Igawilo,Mbarali na Busokelo.
-Amekamilisha Majengo ya Wodi na Dharura Hospital ya Mkoa wa Mbeya
-Amenunua na kufunga CT Scan na MRI Machine Hospital za Rufaa na Mkoa,OPG X Ray Mbarali DC
-Amekamilisha ujenzi wa Kasumulu One Inspection Border Post Kyela(Tzn/Malawi) Border
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara ya Makongolosi-Chunga na kuizindua.
-Amekamilisha Mradi wa Maji Mbalizi na Chunya na kuzindua
-Amekamilisha njia ya mchepuko(Bypass) wa Mlima nyoka Uyole(Hakuna ajari tena,VP Mpango akizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara za lami km 21 za Tarura Wilaya za Rungwe na Busokelo via Agri-Connect
-Amekamilisha Ukarabati wa Meli ya MV Mbeya inafanya kazi.
-Na majengo mengine ya Taasisi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mwendesha Mashtaka na alizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Hospital Mpya 2 za Wilaya za Mbarali na Busokelo
-Amefanikiwa kukuza uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula eg pareto,mpunga na tumbaku.
-Amekamilisha Ujenzi wa Kituo Cha mauzo ya Madini ya Dhahabu

View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0

My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣

Itoshe tuu kusema Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.

View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6

Mkuu hayo makitu yanatendeka au hypothetical na uchawa unawa drive?
 
Back
Top Bottom