Human being; Very complicated gods experiments

Astrum27

Senior Member
Nov 28, 2016
143
215
Nimekaa na kutafakari; binadamu ni nani? Na purpose yake kuu ni kipi duniani? Kwanini kila mmoja anawaza tofauti lakini huwa kwenye same circle, kuanzia birth to death?
Je kama kuzaliwa kwa kiumbe kipya ndio namna pekee ya kuleta mradi mpya duniani; na huonfolewa kwa kufa kwake?

Je hivi kama kufa ndo kuzaliwa na kuzaliwa ndio kufa; I mean kumbe kinapozaliwa duniani huenda ndio kafa kwingine au anapokufa duniani ndio kuzaliwa kwingine(kwamba hawezi kuexist sehemu mbili kwa mara moja).

Je ni kweli tukiaminishwa udini na maswala ya kiroho visivyoonekana kweli zipo? Au sisi tumekuwa implanted na softwares ambazo zinaweza ingia virus, tunahitaji anti virus?

Kwanini tuwe na asili moja ila tutofautiane kimtazamo? Au lengo kuu ni kugawa watu kwa segments wasipate nguvu ya ushirikiano katika sayari wanamoishi? Utofautiano wa mtazamo ndio chanzo cha kuzaliwa kwa imani tofauti na dini mbalimbali.

Kwanini kutofautiana kwa mtazamo huu, hutuletea jibu ya shetani mmoja? ( kuwa kitu kibaya basi chanzo ni shetani). Kwanini shetani mmoja ila mtazamo tofauti? Kwanini shetani mmoja, ila imani zetu zinatuaminisha kufika kwake kitofauti? Mfano kuna imani zinasisitiza bila ubatizo huendi kwa Mungu, inamaana kwa shetani, na kuna imani hawaamini katika ubatizo; hapo nani yuko sahihi? Kwanini shetani mmoja kufika kwake tumetofautiana na asili ni moja?

Je ukiamua kutorely upande wowote, pia ni kosa; sababu unakosa kundi.. kama sisi ni asili moja, kwanini tutofautiane kimtazamo?

Kwanini baadhi ya Mashirika hufanya kila wanavyofanya kupigania wanachokiita haki za kibinadamu; je humpigania nani? Na kwanini? Je, hizi Agenda wamepata wapi?

Tafakuri langu
Kulikuwa na variety moja ya binadamu duniani(tuite sample A)( hii tunaweza pata kwenye vitabu vya dini). Hawa hawakujua kama kunakukosea... Baada ya muda wakaja variety ya pili (tuite sample B)ambao hawajui kupatia ni nini(wao usiku mchana, utofauti na binadamu sample A kwao ndio sawa)
Ila muonekano wao na kila kitu chao ukaendana na sample A.

Sample A na sample B wakaaza kuzaliana na kutengeneza kizazi cha kati, hichi kizazi ndicho kikawa kizazi cha sasa, wenye asili ya Sample A na Sample B. Yaani asili zao huvuta matendo yao.

Kuna waliobahatika kuwa na asili kubwa ya Sample A, ambao kwao si vigumu kuishi(sample B huona wanajinyima sans); pia kuna wenye asili kubwa za Sample B(hawa hutenda asili kubwa za sample B). Hawa kuua etc ni kitendo cha dakika moja. Sasa kuna wale mchanganyiko, 50% sample A, 50% sample B. Hawa ndio moto baridi, huweza badilika wakati wowote.

Huu ni mtazamo wangu wa asili ya binadamu. N.b; viumbe vingine havihusiki kwa hii mada.
 
Duuh mambo Ni mengi
 
Kwa Mimi ninavyofikiria mpaka Sasa, ni kwamba yawezekana ukifa unazaliwa Sehemu nyingine with different body and soul...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom