Barabara zenyewe hazimalizi mwaka zinamomonyoka.Acha utapeli na upotoshaji, Magufuli alijenga barabara moja tu ya kutoka Mwigumbi-Maswa-Bariadi. Aliyejenga barabara nyingi kuunganisha makao makuu ya mikoa na kuunganisha nchi yetu na nchi jirani ji mh. Jakaya Mrisho Kikwete, na hana makuu ya kujitangaza mzee wa watu. Huyo mfu wako km una mahaba naye mfuate aliko usituletee uzushi wa kingese
Hizo Barabara au biskuti