Hongera Misri kwa kuitandika Tanzania gori moja kipindi cha kwanza nawatakia kila lakheri

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,621
3,937
Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
 
Akili ndogo hizi, unajua mpira umechangia kiasi gani kukuza pato la taifa, unajua kodi Azam anayolipa kwa kurusha mpira? Unajua kodi inayopatikana kwa kuuza jezi kwa mashabiki? Unajua serikali inapata mapato kiasi gani viwanja vikijaa? Unajua ni media ngapi zinajiendesha kwa kutangaza mpira? Ni vijana kiasi gani wameajiriwa kwa shughuli zinazohisika na mpira?
 
Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
Thread ya hovyo mwaka 2024
 
Safi sana.hata Mimi nawapongeza
 
Bavicha mna tabu!!!
 
We ni tahira, jinga na pumbavu, ndiyo maana unashindwa kutofautisha "R" na "L" mbwa wewe!
Hakuna 'Gori' kuna 'Goli' kenge mmoja wewe rejea shule
 
Build-up game hiyo, tunatest mitambo tu
Subiri AFCON ianze
 
Back
Top Bottom