Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 262
Wahindi wanawanyoosha sana majirani
Duh! wewe unachekelea tu!!?Gazeti za Kenya ziko na demand kubwa sana Bongoland.
Mbona nisichekelee? hebu ona hapa chini ;Duh! wewe unachekelea tu!!?
Laana ya ukabila inaendelea kuwatafuna, welcome to a civilized country.Gazeti za Kenya ziko na demand kubwa sana Bongoland.