Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hakunaga hio.
Unadhani hv vituo vya watoto yatima vinavyomilikiwa na mashirika ya dini au makanisa, ukienda nyuma ya panzia unaweza usiamini.
CHUNGUZA
Kumbe.????
Sasa unazaa alafu unampeleka uko? Yule wa kulea mwenyewe vipi?? Mfano wewe una mahusiano naye na ukazaa naye, si unaweza kulea mwenyewe?? Hebu nambie vzr
 
Tumemaliza salamu Sema shida sasa unaniambiaje nambie
Hatujamaliza salam wewe upo busy na sw, axant, p, hy..yani naendeleaje na mengine?
Halafu ujue sina shida, natafuta muendelezo wa stories, upo bize na xaxa zako..hata mimi nitakuambia NAMBIE tu manake unaboa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uwiiiii.... option ni NIAMBIE tu
 
Akikwambia niambie wewe mwambie una nyege alafu sikiliza nini kinachofuata wewe hata kujiongeza haujui, hapo Mua umesimama huko anataka akarequestie Uber we unaanza kupuyanga

Nakwambia tena akisema niambie mwambie una nyege alafu msikilize,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uwiiiii.... option ni NIAMBIE tu
Ipo hivyo Joannah, hata sisi tunaangalia aina ya wadada tunaochat nao, aina ya stories wanazopenda, ila kumbuka mwanzoni ni ngumu sana coz bado sikufaham vizuri, natafuta code kujua unapenda kuongelea issues gani....hata mada za rocket sciences Me wanaziweza, hasa wakiwa na jambo lao🤣🤣🤣
 
Kumbe.????
Sasa unazaa alafu unampeleka uko? Yule wa kulea mwenyewe vipi?? Mfano wewe una mahusiano naye na ukazaa naye, si unaweza kulea mwenyewe?? Hebu nambie vzr
Ndugu,.....nitatoa yasiyoruhusiwa.
Halafu naweza jikuta naharibu sehemu.
Ila chunguza tu...utanipa jibu siku yoyote au mwaka wowote.
 
Ipo hivyo Joannah, hata sisi tunaangalia aina ya wadada tunaochat nao, aina ya stories wanazopenda, ila kumbuka mwanzoni ni ngumu sana coz bado sikufaham vizuri, natafuta code kujua unapenda kuongelea issues gani....hata mada za rocket sciences Me wanaziweza, hasa wakiwa na jambo lao🤣🤣🤣
We muongeleshe za kujilipua tu achana na kutaka kujua anaoendelea nini,,,muongeleshe vitu vitamleta kwenye lengo la mawasiliano,..
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Nikipona gonorrhea nitakuja DM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom