Hivi Msajili wa vyama vya siasa yupo kweli???

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,104
Nauliza tena hili swali.sijaelewa kwa nini mods wamehamisha swali langu kwenye thread isiyohusiana kabisa.

Kama msimamizi wa vyama vya siasa tulitarajia kuona msajili akiwa active wakati kama huu.

Changamoto nyingi zinajitokeza lakini hatumwoni wala kumsikia!
 
Back
Top Bottom