Hivi maandamano ya amani ya CHADEMA yana tija gani mbona mambo yanazidi kuwa magumu kwa wananchi? Au ni usanii tu

Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Chagadema ni wasanii tu
 
Hili taifa lina majinga majinga mengi sn kwa akili kama hz za huyu chawa mleta thread aisee wacha makonda zero brain aendelee kuwadanganya tu kwmb ana uwezo wa kutatua kero wkt hana uwezo huo. Kwa jns nlivyomuelewa huyu tahira anamaanisha raia wapuuze maandamano hayawasaidii ktu mengne yako humu yanasema na matembez ya hisani as if matatzo ya taifa hili na watz yameletwa na watu toka nchi nyngne wkt ni majiz toka ccm na maviongoz yake.
 
Chagadema ni wasanii tu
ila wale waliotawala taifa hli kwa zaid ya miaka 60 ya uhuru hata maji tu yamewashnda hao siyo wasanii au siyo, waliofirisi viwanda alivyoacha mwl nyerere pamoja na mashrika ya umma si wasanii, walosababsha matatzo yasasa yanayolalamikiwa si wasanii au siyo, wanaogawa raslimali za taifa hli kwa wazungu huku wakpatamo aslimia zao wafaidi na family zao si wasanii, aliyesema wapnzan ndo wachelewesha maendeleo akatujazia mabunge, madiwani ya chama chake kwa kuiba kura na kuvuruga uchaguz si msanii au siyo..
 
Tija ipo.Jana hukumsikia waziri wa kilimo?
unapelekwa Muswada wa mabadiliko ya sheria kuhusu uagizaji wa sukari nchini.badala ya kuachiwa wenye viwanda kuwa ndiyo wazalishaji na waagizaji kutoka nje ya nchi,itabadilika na kutangazwa zabuni ili wenye uwezo wa kuagiza sukari wasiwe na vikwazo vya kisheria kwa kisingizio cha kulinda viwanda vya ndani
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Hayo maswali waulizwe CCM wenye serikali... Chadema haina mbunge wala serikali, wao wnachofanya ni awareness tu ila kwa sababu serikali ishajua wananchi wake wapo wapo tu, basi hawana shida this time.
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Watu kama nyinyi ndo mnatukwamisha
 
kwa mazoea ya kawaida ya utendaji wa viongozi wetu(mazoea)
bila kelele za wananchi kwa mtindo wa maandamano tusingesikia hata lile tamko la waziri mchengerwa kuwataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kufuatilia mwenendo wa wafanyabiashara wa sukari katika maeneo yao.
Ni bahati mbaya tu kuna baadhi ya vyombo vya habari vinaegemea upande mmoja wa shilingi kwa kutangaza mambo ya yanayowafurahisha watawala
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Wewe ni low thinker, kwani CHADEMA ndo wanasabisha ugumu huo???
 
Hawa jamaa wangehamishia nguvu kwenye mikutano ya hadhara ingelipa sana. Watanzania wengi hawana pakwenda hivyo ukiitisha mkutano watakuja sana ila maandamano watz wengi hawana uzoefu nayo yani waoga.
 
Ulitaka kufanya manunuzi ya bidhaa gani nje ukakosa dola?au unasikia ya kuambiwa tu
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?

Ni vizuri na ni muhimu kwa binadamu kutumia akili katika kila jambo. Hapa katika kuleta hii hoja yako hujatumia akili.
 
Maandamano/matembezi ya hisani ya CHADEMA yana tija. Yatawasaidia kupunguza vitambi walivyovipata kwa kufakamia ruzuku ya 2.7b kimyakimya.

Punguani mwingine huyu hapa.

Mama huna hoja, siyo lazima uandike.
 
Shida yangu kwa nini serikali hairekebishi?Hali inazidi kuwa mbaya au hawajatishika

Jambo lolote lina hatua.

Hatua ya mwanzo ni malalamiko ya mwananchi mmoja mmoja kwa njia mbalimbali ikiwemo mitandao kama JF. Serikali imepuuza.

Hatua ya pili ni malalamiko ya kitaasisi kwa kuwaunganisha watu ili sauti iwe kubwa zaidi, kama vile ilivyofanya CHADEMA kwa kuitisha maandamano ya amani. Serikali inaonekana kupuuza.

Kinachotakiwa sasa ni kuilazimisha serikali kwa nguvu. Je, tupo tayari? Kama hatupo tayari, hawa mahayawani wataendelea kuwatesa wananchi huku wao wakiogelea kwenye utajiri wa maisha ya kifahari bila woga wowote.
 
Back
Top Bottom