Hivi hawa viongozi wa CCM na Chadema wanaozeeka kuna waliopigana Vita ya Kagera iliyowapa Uhuru wa Kweli Uganda?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,944
143,561
Nafanya kautafiti kadogo kutambua Uzalendo Wakati wa Vita na Uzalendo Wakati wa Anasa UPI ni Uzalendo sahihi mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni

Kwa mfano 1978/79 watu waliwaacha Wapendwa wao na familia zao na kwenda Kulitetea taifa huko Mutukula Wengine walirudi Wengine walikufa Vitani

Lakini Wako wazalendo wa Leo ambao hawaendi msituni wao hulitetea taifa kwa kuvaa Tai za rangi ya bendera ya taifa, kuvaa mashati ya bendera na sasa Wengine wanaonesha Uzalendo kwa kufanya Maandamano

Sasa ninachotaka kujifunza ni Je, wale waliopigana Vita ya Kagera kama wapo Siasani bado Wana Uzalendo ule ule?

Nawatakia Sabato Njema ๐Ÿ˜„
 
Nawatakia Sabato Njema
Punguza maswali yasiyo na tija kwa Taifa
 
Una uwakika vita vya kagera viliipa uganda uhuru wa kweli????
Take a time ufanye analysis vizuri vita vya kagera vimeipa uhuru dola ya HIMA.
Leo watutsi na banyankole ndo inatawala UGANDA RWANDA EASTERN CONGO bado BURUNDI tuu ila central Africa almost ni chess board ya hima empire
 
Nitaifanyia Kazi
 
Hao ukiwafuatilia utajua tangu ujana wao walikua watu wabishi wabishi tu na wamezeeka nao.

Kuwa mpinzani ni kitu mtu anazaliwa nacho.
 
Hata Simon Petro alikuwa mbishi mbishi lakini ndiye aliyeachiwa Kanisa
Wale vijana watukutu wote zamani sasa hivi ndio wamezeekea huko Chadema.

Lisu mwenyewe soma historia yake kila mahali alipopita alikua anabishana na watu tu.

Sasa watu kama hao wa kazi gani, ndio maana hatutaki watuongoze.
 
Mwelezeee!!!

Mwambie wewe una "double payment pension"...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Kidumu wanakulipa na kitengo wanakulipa, na waliopo wanakulipa pia...๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
Bwashee hapo nyumbani ukiwa na kabustani kadogo tu ka Mbogamboga utashindaje njaa? ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Tatizo la Wabongo ni kulazimisha KUISHI kama fulani Ndio sababu yule Kigwangalla aliponyimwa Tukutuku na Mo wa Makolokolo SC alilia nchi nzima ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wale vijana watukutu wote zamani sasa hivi ndio wamezeekea huko Chadema.

Lisu mwenyewe soma historia yake kila mahali alipopita alikua anabishana na watu tu.

Sasa watu kama hao wa kazi gani, ndio maana hatutaki watuongoze.
Usikariri mambo kama Netanyahu wa Israel ๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom