Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,425
36,024
Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.

Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?

Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?

CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?

Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
 
CCM imeishiwa watu. Ndani ya miaka mitatu wamebadilisha makatibu wenezi watatu.
 
Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.

Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?

Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?

CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?

Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
.
Screenshot_20231022-153235~2.jpg
 
Utajinyea bure wewe Kuku mweupe uliyekosa jinsia!
 
Kurudia kwa makonda Ni kurudisha makundi ndani ya CCM. Makanda hapatani na wanaccm wengi, hasa wabunge.
Atawanyoosha tu we ngoja, lazima wajirudi vinginevyo atawasosoa *****! Tena kama yule mwenye majigambo..kazi anayo!
 
Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.

Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?

Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?

CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?

Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
Kwa akili yako hapo CCM kuna mtu mwenye akili timamu?
 
muda si mrefu watamrejesha na yule wa Arusha. Tunaposema kuwa CCM ni alama ya uovu, ni alama ya ushetani, sasa inadhihirika wazi. Makonda, kiongozi wa kikundi cha mauaji, kilichotaka kumwua Lisu, kikampoteza Ben sanane, kikamwondoa Azory, na wengine wengi kadhaa ambao miili yao iliishia kuokotwa kwenye viroba baharini, leo anakuwa miongoni mwa wakuu wa chama!! Yaani viongozi wawe mashetani, halafu chama kiwe kitakatifu, inawezekana?
 
Back
Top Bottom