[QUOTE"NEW NOEL, post: 15268215, member: 44297"]Kwanini uamini Billboard?
Wewe unaamini hiyo list imekamilika?
Kwanini infuential rapper kama 2PAC hawajamweka?
Kwanza hiyo list inaonekana ipo biased sana.
Nilitegemea mtu kama 2pac awepo,nilitegemea NWA wawepo.
Kwa sababu mimi ninaamini kuwa mc mkali lazima uwe CHANGE AGENT. Sasa kwa mtu kama Kendric Lamar ambaye hana hata miaka 5 kwenye peak ya muziki huu unakuja kusema ni mc mkali?
Sikatai kuwa Kendric ni mkali lakini hiyo ya kusema mcs wakali kuwahi kutokea duniani.
Kendrik Hana uwezo wa kusimama na the likes of rakim allahUsimchukulie poa Kendrick gwiji
Duh...Msanii bora wa Muda wote - TUPAC AMARU SHAKUR.
Album bora ya Muda wote ni - ILLIMATIC
Huu ni zaidi ya upuuzi no 2pac Dr dre coolio harafu Lil Wayne sijui Lamar pumbavu tupu.According to billboard awa ndio mcs wakali kuwai kutokea duniani
1. BIG POPA
2. Jay Z
3. Eminem
4. Rakim Allah
5. Nas
6. Andre 3000
7. Lauryn Hill
8. GhostFace Killa
9. Kendrick Lamar
10. Lil Wayne
Kwa hiyo ww unaamini 2pac hakustahili kuwepo?Billboard ni source makini ukitaka kupresent data za music, na hakika wamefanya research kabla ya kuja na hiyo list man.
Sawa..Kwann Tupac hastahili kuwepo kwenye list?Sio swala la imani hapa, swali ni je Tupac kwa nini anastaili au kwa nini hastaili.