Hili la golikipa wa Singida kutoonekana wakati wa mechi na Yanga kuna mchezo mchafu yanga imeucheza

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,438
2,242
Wakati Klabu ya YANGA inalalamika kutolewa kwenye Robo Fainal na Klabu ya MALELODI ya Afrika ya kusini kwa kudai kuna Upangaji wa Matokeo

Leo ktk Mchezo wa YANGA vs SINGIDA kumetokea Tukio la Kushangaza kwa Kitoweka kwa Golikipa tegemeo wa Singida kupotea kabla ya Mchezo.Tukio hili unaweza kulifanya kama ni Upangaji wa Matokeo Uliofanywa na YANGA ili iwarahisishie Ushindi YANGA .Kwa Tukio hili binafsi naamini YANGA imelipanga ili IPATE USHINDI vyombo husika FANYENI Uchunguzi.
 
Huyu ni kawaida yake na ameshasema aliaga alhamisi kwa meneja wa team.
 

Attachments

  • 20240414_160154.jpg
    20240414_160154.jpg
    130.7 KB · Views: 4
Basi tufanye match tume draw au tume fungwa..vipi makolo point zenu zime waweka wa kwanza ?
 
Hiyo timu haiwezi kuwalipa wachezaji wenye mikataba mikubwa, imekimbiwa na wachezaji hutumia mechi kubwa kudai maslahi yao.
Inaonyesha walitofautiana akasepa kuwakomoa. hata angekaa angetunguliwa tu.
 
Back
Top Bottom