Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
431
1,102
Simu.jpg

Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani?

== == ===
DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.

Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kumtakia heri kwenye majukumu hayo mapya, Mzee Makamba amemzawadia Balozi Dk. Nchimbi shati moja la sare ya Chama Cha Mapinduzi, ikiwa ni ishara ya kifaa cha kazi, ambapo Katibu Mkuu huyo wa CCM, alipokea pongezi na kumshukuru kwa zawadi hiyo.
 
Hamiliki simu moja tu, hiyo ni mojawapo tu.
 
Huyu ndio anaendesha nchi anasingiziwa msoga(wazuri hawafi)
 
Kwa akili hata za Chekechea unadhani huyo mzee wa kujivua gamba hana smart phone ya maana?
Mtu alikuwa na nyadhifa kibao.
Pia ana watoto kibao wenye nyadhifa na pesa leo unakuja kuanzisha uzi kwa swali la kindezi grow up dogo..?!?!
 
1. Anaweza kuwa ana simu nyingi 2. Anaweza kuwa hataki kutumia smartphone kwa sababu amepitwa na wakati 3. Simu anayomiliki mtu haina uhusiano na kipato au hadhi yake. Kuna sababu nyingi...
 
Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani?

== == ===
DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.

Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kumtakia heri kwenye majukumu hayo mapya, Mzee Makamba amemzawadia Balozi Dk. Nchimbi shati moja la sare ya Chama Cha Mapinduzi, ikiwa ni ishara ya kifaa cha kazi, ambapo Katibu Mkuu huyo wa CCM, alipokea pongezi na kumshukuru kwa zawadi hiyo.
Inawezekana simu anayotumia kuwasiliana ni kiswaswadu, na smartphone anayoitumia kwa ajili ya kuperuzi mitandaoni ipo kwenye charge au chumbani.

Utaratibu wa kutumia kiswaswadu kwa mawasiliano na smart kwa ajili ya kuperuzi mitandaoni ni utaratibu wa kawaida kabisa na unatumiwa na watu wengi sana kwa sasa hata vijana.
 
Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani?

== == ===
DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.

Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kumtakia heri kwenye majukumu hayo mapya, Mzee Makamba amemzawadia Balozi Dk. Nchimbi shati moja la sare ya Chama Cha Mapinduzi, ikiwa ni ishara ya kifaa cha kazi, ambapo Katibu Mkuu huyo wa CCM, alipokea pongezi na kumshukuru kwa zawadi hiyo.

Tatizo lako Makamba au simu?
 
Kwa akili hata za Chekechea unadhani huyo mzee wa kujivua gamba hana smart phone ya maana?
Mtu alikuwa na nyadhifa kibao.
Pia ana watoto kibao wenye nyadhifa na pesa leo unakuja kuanzisha uzi kwa swali la kindezi grow up dogo..?!?!
Mleta mada kafikiri mpaka mwisho wa kufikiri kaanzisha thread kuhusu simu ya Mzee Makamba. Akili yake alichokiona ndio uhalsia wa Mzee Makamba ktk dunia ya mawasiliano. Tumevamiwa na wimbi la vijana wa ovyo sana.
 
Wachana na simu, hata ukimzoom huyo Nchimbi utaona na yeye ka zoom out. Ni kama alitaka wamalize mazungumzo asepe zake.
Sawa na kichwa cha mada, nimezoom in na nazoom out, nasepa.

Na njaa inaniuma, na nipo Zanzibar-Hatari.
 
Wamechunguliaaa hadi wameona simu. Kazi ya simu ni mawasiliano sasa kwani hiyo haina mtandao? Hainas betri? Haina laini?
 
Back
Top Bottom